Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na...
Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa.
Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu.
WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia...
Mwenyezi Mungu aendelee kusimama na kila mmoja na kusimama na Taifa letu. Ni imani yangu bado kila mmoja anakusudi la kweli katika kudumisha amani, kukuza umoja wa kitaifa na kusimamia misingi ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD na aliyekuwa Mgombea Urais wa kupitia chama hicho Doyo Hassan Doyo, amesema hayo Aprili 23 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi...
Angalizo:
Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote.
Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali...
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.
Hakuna namna hata ufanyeje.
Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.
Sasa huyu Samia leo...
BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?"
Ambassador Lazaro Nyalandu...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupitia taarifa kwa...
Tarehe 31 Januari, 2023, Rais Samia alizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini chini ya Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande Othman, Makamu Mwenyekiti...
Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu...
Wakuu,
Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar...
Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa...
"...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga...
Leo Chande atatukumbusha wapendwa wetu waliouawa na polisi kwa kupigwa risasi za kichwa.
Leo tutakumbushwa yule mama wa Arusha aliyepigwa risasi ya mgongo akiwa na mimba ya miezi mitatu.
Leo...
Kwa taarifa ya tume ya uchinguzi wa mambo yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa raisi wabunge na madiwani october 29.2025 na jaji chande imeonesha kuwa baadaya ya uchunguzi tume imebaini...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.