Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar...
28 Reactions
300 Replies
13K Views
Mama Samia ametoa kauli tena akiwa na Uso wenye hasira kwamba "Luhanga Mpina ni Mbunge wa Kitaifa na siyo Mbunge wa Kisesa" akaendelea na kusema "Anaruka ruka tu" baada ya kauli hiyo NAOMBA...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza namna alivyofurahi baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangazwa kuwa Mgombea mwenza wa Urais kwenye mkutano maalum wa CCM, Januari mwaka huu...
1 Reactions
9 Replies
955 Views
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa...
13 Reactions
126 Replies
7K Views
Wakuu, Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea Huyu dada anaitwa Grace Saulo Mali yeye alishawahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro na pia alishawahi kuwania...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu. https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa...
42 Reactions
299 Replies
12K Views
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli. Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru. Mama apishe 2025 yakae majembe...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakuu, Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM. ==== Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
My Take Chadema mpo? Kuna ujumbe wenu Kwa Ndugai. === Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema Jimbo hilo kupata ushindi wa 'Cleen Sheet' kila chaguzi zinazofanyika ikiwemo 2020 ni sababu ya eneo...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa sasa, hakuna taarifa rasmi kuhusu Dkt. George Lugomela ambaye ni Mkurugenzi wa Raslimali za Maji,Wizara ya Maji kutangaza nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao. Lakini ni mtu ambaye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dakika 45 leo! Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria...
25 Reactions
142 Replies
8K Views
Wakati mchakato wa kuchukua fomu Kwa ajili ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi ya Uraisi, ubunge na udiwani kwenye Uchaguzi unaotarajia kufanyika octoba mwaka huu, watu...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Baadhi ya watu waliotoka mikoani kuja Dar es salaam kuhudhuria Mkutano wa CHAUMMA wamelaumu kunyimwa posho walizoahidiwa baada ya kufika Dar es Salaam. Mmojawapo anasema Wenje aliwatumia hela ya...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Morris Makoi, amechukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mosh Vijijini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma. Mradi huu unahusisha ujenzi wa nyumba 3,500 ambapo tayari ujenzi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge...
11 Reactions
91 Replies
7K Views
Kukiwa na amani, hakuna mizengwe na hali ikiwa shwari kabisa, siyo siri kura zote November ni za Mama Samia kwa zaidi ya 80%. Hizo 20% zilizobakini za wale walio na hisia zao wenyewe kwa mambo...
14 Reactions
97 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya...
2 Reactions
133 Replies
5K Views
Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la...
14 Reactions
125 Replies
6K Views
Back
Top Bottom