Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa NEC Richard Kasesela amesema Wajumbe wanapaswa kuwachagua viongozi ambao licha ya kazi yao watazingatia Utu . Kasesela amesema Kazi na utu ndizo nguzo huku akisema unaweza fanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
391 Views
Baadhi ya watia niya katika jimbo la kigoma mjini kutoka kushoto ni mwandishi wa habari Nguli Baruani Muhuza,Dr.Maulidi Kikondo na Mr.John wakiwa katika picha ya pamoja wamekusudia kumng'oa Mbunge...
0 Reactions
8 Replies
929 Views
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Jessica Mshama, amesema kuwa CCM inatambua na kuthamini uwezo wa vijana katika uongozi na...
0 Reactions
5 Replies
418 Views
Ukishangaa ya Zito utayaona ya mzee wasira
1 Reactions
6 Replies
834 Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kuwa chama chochote cha siasa kitakachoshindwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya kampeni, ingawa kitapewa fursa ya kushiriki...
1 Reactions
3 Replies
593 Views
Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu? Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko.... NASOMA COMMENT
7 Reactions
134 Replies
3K Views
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au...
19 Reactions
104 Replies
6K Views
Zitto, Masele,Tumbuli nk ongezea Why always kigoma?
0 Reactions
6 Replies
494 Views
Siasa zina maajabu yake Yaani baba Levo aliyefungwa jela ni maarufu kumzidi Zitto Kabwe wa Buzwagi? Mimi ni CCM lakini nasema Zitto Kabwe ukiondoa mambo yako ya Udini ni Kiongozi super kabisa...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje, Kata ya Matongoro, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Elisha Mpanda, amerudishwa madarakani baada ya uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza...
49 Reactions
81 Replies
5K Views
Wakuu! CHAUMMA wanaingia kama Avengers wa siasa! Katibu Mkuu wao, Salum Mwalimu, anasema wapo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani lakini si kwa chokochoko, bali kwa maarifa na...
2 Reactions
14 Replies
966 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!? Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Nianze kwa kukemea watu mnaorushia hotuba sijui za Rungwe, Zitto, Madeleka n.k tusipotezeane muda. Tunajua CCM hawana ustahimilivu wa kuwavumilia wapinzani wakijinadi. Hii ni game, watachezewa...
2 Reactions
2 Replies
262 Views
Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
1. Humuwezi kuzuia uchaguzi ulio kinyume na katiba huko ni kutaka kuonyesha uasi, kitendo ambacho kitahatarisha na kukiingiza kwenye matatizo yasio ya lazima, Na pengine wapinzani wenu wanaweza...
6 Reactions
167 Replies
6K Views
TRANSFORMATIONAL LEADERSHIP SUMMIT 2025 Province of the Eastern Cape - Social Development PANEL: OPPORTUNITIES IN TOURISM AND HOSPITALITY INDUSTRY CONFIRMED SPEAKER 📅 SAVE THE DATE 7ᵀᴴ AUGUST...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Mo wakati anaingia Simba alitoka kustaafu kuwa Mbunge wa CCM uko Singida Akaja Simba akatudanganya Simba itaichukua champions ligi Akajaza wahuni wa CCM kwenye timu Kama Mangungo na Try Again...
5 Reactions
11 Replies
568 Views
Back
Top Bottom