Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuwekeza nguvu zaidi katika kuimarisha doria na misako usiku na mchana nchi nzima katika kipindi cha kuelekea...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo, kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Mtemi Msogata Fundikila ametangaza kuwa kesho ataungana na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa ya jirani kufanya Dua maalumu ya kuiombea amani...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana. Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za...
14 Reactions
70 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo Lissu...
9 Reactions
228 Replies
17K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) anawasili kesho jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo muhimu na serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia, haki za binadamu na maandalizi ya uchaguzi mkuu...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nadhani Mwamba wa nchi jirani alijisahau kwamba yeye ndiye mwenyekiti wa EAC Inasemekana T-shirts zenye Picha ya Tundu Lisu zinanunuliwa kwa kugombaniwa nchini humo Inasemekana Congo nako...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Huo mfumo unaitwa DUMA tangu tarehe 30/6/2025 malipo Yamesimama. Hawa wahindi washishindwa na wafanyakazi wao wana Hali mbaya kifedha. Na wahindi hawataki kukubali wameshashindwa Pichani ni...
2 Reactions
7 Replies
861 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeonesha kutoridhishwa na namna Mbunge wa Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Bi. Anne Kilango Malecela anavyolihudumia jimbo lake kikisema kuwa alitoa taarifa za uongo...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Wananchi wa Jimbo la Mwibara, lililopo mkoani Mara, wamemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), awasikilize...
0 Reactions
3 Replies
735 Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Hawa ndio Wabunge wanawake Watano bora Bunge la 2020/2025 kwa MICHANGO yao Bora kabisa kwa Taifa na Kwa majimbo yao kwa wale wenye majimbo! I. Sophia Mwakagenda,Viti Maalum Chadema,kwa sasa Chama...
0 Reactions
6 Replies
567 Views
Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali...
2 Reactions
3 Replies
397 Views
Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12. Waziri Mkuu wa Italia...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika...
1 Reactions
0 Replies
334 Views
Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha...
2 Reactions
5 Replies
367 Views
Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika...
1 Reactions
0 Replies
285 Views
Habari wakuu Hizi hoja makini katika video hapo chini, zimenipa moyo wa kuendela kubaki Tanzania. Tupate wananchi wengi namna hii katika kuishauri serikali Muongeaji anaonekana kutoa maoni hayo...
2 Reactions
3 Replies
393 Views
Wajomba eeeh unajua harakati ya CHADEMA ya “No Reforms, No Election” ilikuwa ni msimamo mkali wa chama hicho kupinga kushiriki chaguzi bila marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi na sheria...
2 Reactions
0 Replies
641 Views
CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom