Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani kuna watu waliletwa Duniani...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni ushauri wa bure kwa mujibu wa Sheria na kanuni za umma. Kushindwa kufanya hivyo kunaweza kuhesabiwa ni jinai na hivyo waweza ingia kwenye shida
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Nimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana https://us06web.zoom.us/j/6818807495?pwd=Eu5qlqorqlOEchz9zkqEhjKW7GsbHv.1&omn=81835714199...
8 Reactions
151 Replies
10K Views
Akiongea Kwa tahadhari Polepole kasema si sawa CCM kuwakumbatia wahuni. "Unasikia watu wanafanya uhuni halafu wewe unakwenda kuwakumbatia na kusema "Hawa ni rafiki zangu" Kauli kama hiyo iliwahi...
0 Reactions
2 Replies
587 Views
Yapo mapendekezo ya kumteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara. Ipo mipango yakumwandaa Innocent Bashungwa kuwa Waziri Mkuu ajaye endapo CCM itashinda uchaguzi 2025. Endapo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hellow! Mwl Nyerere aliwahi kusema: Bila CCM imara, nchi itatikisika. Leo nimeona mtikisiko wa nchi. Nguvu ilivyotumika tangu Jana kumzuia mtu asifumbue kinywa, nimeanza kujua hatari ya kitu...
2 Reactions
2 Replies
387 Views
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
9 Reactions
104 Replies
5K Views
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani. Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe. Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Je, Dira ya Taifa inatengenezwa na nani? Je, wahusika wa kuandaa Dira ya Taifa ni wahusika wa chama au ni watumishi wasio husika na chama? Je, ni namna gani hutumika kukusanya maoni kwaajili ya...
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua. "Urekibishaji unaanza...
3 Reactions
1 Replies
615 Views
Kaka umesema upo CCM tangu 2000. Hebu tueleze uchaguzi wa mwaka 2010 CCM ilitoa form ngapi za uraisi? Mwaka 2020 zilizalishwa form ngapi? Mbona hukuachia ngazi?. Lakini umesema mchakato wa...
1 Reactions
10 Replies
839 Views
Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
1 Reactions
0 Replies
360 Views
Kama unabisha tafuta Hotuba ya Mzee Kikwete Siku ya mazishi ya Shujaa Magufuli kule halafu uniambie kuingia na jina la mgombea maana yake ni nini! Hata Chadema miaka yote mi kama walikuwa wanatoa...
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
3 Reactions
0 Replies
352 Views
Kwa kusoma mabadiliko ya mienendo ya Mbowe, tangu alivyopokea kipigo tukufu cha January 21; hautaweza kushangazwa na yeye kwenda kupeana mikono na kupiga picha na Rais Samia. Ni wazi Mbowe...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania. "Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote...
0 Reactions
9 Replies
497 Views
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani. Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza CCM ilipoona nguvu za CHADEMA ilikuwa mwaka 1994 kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu. Tangu mwaka 1995 mpaka Sasa CHADEMA imekuwa mwiba...
3 Reactions
11 Replies
764 Views
Rostam anaposema watanzania kampuni yake ya Vodacom hailipi gawio kwa wana hisa pamoja na watanzania kumuwezesha mtaji kupitia kununua hisa Anachoongea yeye mwenyewe hafanyi pamoja na kuwezeshwa
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…