AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!*
Na Mzee madiba
Simiyu -bariadi.
Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu...
WAISLAMU WA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI WAMUOMBEA DUA MBUNGE SHAMSIA MTAMBA KUENDELEA KWA MIAKA MITANO IJAYO
Waislamu wa jimbo la Mtwara Vijijini wameonyesha msaada na upendo mkubwa kwa mbunge wao...
Wakuu
Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la...
Mkuu wa Wilaya ya Gairo ndugu Jabiri Makame amewahamasisha wananchi wa Wilaya ya Gairo, Tarafa ya Nongwe kuchangamkia fursa ya Kilimo Cha Viazi Mviringo kwa sababu mahitaji ya zao hilo ni makubwa...
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na mambo aliyoyafanya kwa Taifa anaingia katika rekodi ya Marais bora...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Theresia Mtewele, amewataka Wananchi wa Wilaya hiyo kutunza mazingira ya vyanzo vya Maji ili kuendelea kupata Maji safi na salama.
Mtewele amesema...
Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha.
Kwenye hafla...
Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa.
Kadogosa ameyasema...
Wananchi wa Kijiji cha Ushetu wamemkabidhi zawadi mbalimbali Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, kama ishara ya shukrani kwa kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kijijini...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi. Victoria Mwanziva, amesema toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wamepokea zaidi ya...
Afisa Tarafa ya Chag'ombe Al Hajj Saadat Mtware amewahamiza wananchi kujitahidi katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa leo ni siku ya mwisho wa uandikishaji huo.
Al...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameshiriki katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilifanyika Viwanja vya Karimjee...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa...
Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye...
Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.