Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila...
4 Reactions
14 Replies
513 Views
Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna chama cha upinzani kilichowahi kushika hatamu, Je, hii ni kusema CCM ni bora sana? Je, CCM pekee inazalisha genes za wazalendo wa kweli? Kwamba CCM ndiyo chama...
2 Reactions
9 Replies
339 Views
Wanakosali waumini wa Gwajima kwa sasa kanisa la ABC Dar ni la Kahama limesajiliwa Kahama. Hilo ni la watu wa nchi jirani Zenye vurugu wamejaa kibao Kahama Na wanaendelea kuja Dar kutoka nchi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere Na Costantine V. Magavilla Katika kuendeleza mada ya janga la...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Hivi kweli mnadhani kuhalalisha kumwaga damu za wasio na hatia kwa minajili ya political survival na phantom legitimacy ni ujasiri? Je, mioyo yenu haikuiwasha shame mnapobadilisha utu kuwa mere...
1 Reactions
0 Replies
216 Views
Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo...
0 Reactions
1 Replies
416 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti na za pamoja katika kuimarisha mifumo ya chakula...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA...
9 Reactions
78 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa kuchukua Fomu Ya Urais Mwezi Ujao. Hii ni Baada ya hii...
4 Reactions
79 Replies
4K Views
Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao. Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia! Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la...
2 Reactions
17 Replies
960 Views
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kukusanya kura za petition milioni 15 ni hatua muhimu kwa Chadema. Katika muktadha wa sera yao ya "No Reform, No Election," hatua hii ina faida nyingi ambazo...
2 Reactions
12 Replies
935 Views
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Viongozi Wenye Maono Duniani kote huwa hawaridhiki kwa kidogo wanachopata. Always hupambana kuhakikisha Ndoto zao zinatimia bila kujali gharama wanazolipa. Hii ni njia ya mafanikio waliyopita...
3 Reactions
11 Replies
348 Views
Jambo lolote ambalo lipo kinyume na katiba ya JMT ni void abnitio Mgombea urais wa Tanzania anatakiwa kuteuliwa na chama chake mara baada ya bunge kuvunjwa. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 38...
4 Reactions
12 Replies
569 Views
CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa...
0 Reactions
8 Replies
429 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…