Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere...
2 Reactions
2 Replies
367 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake...
20 Reactions
251 Replies
26K Views
Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
1 Reactions
22 Replies
949 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu Gazeti la Nipashe Kila msimu wa Saba Saba, mimi zaidi ya kuwa ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, mimi pia ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
"Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM...
-1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwanza nimeumia, nimebubujikwa na Machozi kama Lucas Mwashambwa Chawa wa mama abubujikwae Machozi ya Furaha Mama akigawa Baiskeli huku Utekaji ukishamiri. Unaweza jiuliza Hawa Wazeee...
1 Reactions
3 Replies
390 Views
Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Au kwa sababu siku hizi tuna kizazi cha “ School Bus “? Huwa napenda kumtolea mfano Dr Nchimbi na 2030 nitampigia Kampeni nchi nzima kwa sababu hajawahi kuyumba wala kuyumbishwa kwenye utumishi...
3 Reactions
6 Replies
343 Views
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung’unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung’unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung’unika nchini...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa...
1 Reactions
8 Replies
453 Views
Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla...
17 Reactions
45 Replies
3K Views
Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati...
0 Reactions
3 Replies
393 Views
Kichwa cha Habari kinajieleza kinagaubaga Tunakumbushana tu Nawatakia Siku njema 🙏
2 Reactions
15 Replies
577 Views
https://www.facebook.com/share/v/15eTpk7HpN/
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli na Mr. Slow Slow alikulia timing vizuri sana na ukaingia kwenye mtego. Kama ulishindwa kukaza kutokana na pressure iliokuwepo au kutokana na dalili mbaya ulioiona, basi ujue...
21 Reactions
52 Replies
3K Views
Familia ya Bushiri pazi wamshukuru Rais Samia kwa msaada wa kisheria waliopata kurudisha nyumba yao iliyopo Congo mchikichi iliyodhulumiwa kwa takribani miaka 25 iliyopita
0 Reactions
10 Replies
690 Views
Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…