Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha...
Jana nilikuwa namsikiliza Wakili Edwin Sifuna ambaye ni Seneta wa Nairobi pale citizen tv akielezea namna Waandamanaji wanavyoweza kumtoa Ruto madarakani, nikaogopa sana
Nilitegemea angekamatwa...
Ukipita mitandaoni utakutana na ujumbe (hashtag) #MaragaForPresident #Maraga2027 #RutoMustGo.
Hivyo ndivyo vijana wa Kenya wamekuwa wakiandika kuonyesha kuwa wanamkubali Jaji Mkuu mstaafu wa...
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili...
Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu.
Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo...
Salaam!
Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi.
Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula!
1. Ni hivi...
Kitu ambacho tumejifunza katika siasa za hapa Nyumbani ni kwanba Mzee Lowasa na Mzee Jakaya hawataacha kujitokeza katika Makundi ya Siasa zetu.
Na kama kuna kitu walifanikiwa katika hili Taifa...
CCM ndiyo habari yenye kuuza Kila sehemu usipoandika habari za CCM huwezi pata wasomaji kabisa yaani Hadi nawaonea huruma wapinzani Mkilala mnawaza CCM mkiamka mnawaza CCM mkienda kusaka...
Kuna supu inayochemka kwenye presha kuka. Ndani yake kuna kuku wa kienyeji, viazi, na ndizi – vyote vimeshaiva tayari. Lakini Mama Ntilie kaenda kando, anakula chapati zake kwa utulivu. Ameketi...
Moja kwa moja kwenye mada
Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa...
Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza...
Nimesoma mahali fulani mitandaoni Salary Slip akidai Kiongozi mmoja anaweza kuzomewa kwa kuingilia mchakato wa kumpata mgombea Urais wa JMT kupitia CCM
Nashauri wanabodi Someni Katiba vizuri...
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija...
Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100...
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na...
Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa...
Huu ni ukatili wa mfumo wa ajira ambao unaendelea kunyonga ndoto za vijana wa Kitanzania waliokaanga akili darasani, wakavumilia kusota kwenye maktaba, wakaishi kwa mihangaiko ya boom isiyotosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.