Arusha yaongoza kuwa na umeme vijijini chini ya Samia

Cornestone

Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
20
Reaction score
5
Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100 zimeunganishwa kati ya 2020–2025.

Arusha OKTOBA Tunatiki
 
FB_IMG_1753128983701.jpg
O-kutomber mtaukatikia sio
 
Acha uongo....Kuna vijiji kibao Arusha havina umeme.

Au vijiji vya mkoani Arusha unamaanisha maanispa?
 
Kula GARAMA mazeri ILA ZILE bilioni kazza zilizo ibuliwa na WATU wasio wazalendo huwenda zinge fikisha tz pote

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100 zimeunganishwa kati ya 2020–2025.

Arusha OKTOBA Tunatiki
Maisha bila uchawa yanawezekana! Kuna uhusiano gani kati ya Samia na Arusha kuwa ya kwanza? Samia sio kiongozi wa Arusha!
 
Acha uongo....Kuna vijiji kibao Arusha havina umeme.

Au vijiji vya mkoani Arusha unamaanisha maanispa?
Unaweza kuta Arusha yenyewe ajawahi fika Toka azaliwe mkuu 😀😀..ila kwakuwa n chawa Hana budi kumsifia mama yake ..
 
Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100 zimeunganishwa kati ya 2020–2025.

Arusha OKTOBA Tunatiki
Wadanganyika
 
Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Mpaka watu wakiweka mimba sana mtasema chini ya samia
 
Back
Top Bottom