Wakuu heshima sana.
Leo niliamua kufanya tathmini yangu isiyozingatia vigezo wala kibali kutoka mamlaka husika.
Nimefanya mahojiano na makundi mbali mbali na sehemu tofauti tofauti katika viunga...
Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za...
Mheshimiwa Lissu na wapenda demokrasia wote.Hongereni kwa kuzindua kampeni leo ktk viwanja vya zakheem Mbagala.Kuna mambo kadhaa nimejifunza,vema tushirikishane.
MOSI: Jazba na hasira.Bado...
Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi...
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha ACT–Wazalendo kimesema kinaendelea kutafuta haki ya wagombea wake wa nafasi za ubunge na udiwani ambao wameenguliwa kihuni na wasimamizi wa uchaguzi kwa kufuata...
Wakuu nawasalimu wote,
Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM
===
TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa...
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Leo hii ametoa hotuba (maelezo) kwa waandishi wa habari kuhusu figisu za Uchaguzi huu mkuu.
Ni Serikali ya kijinga tuu ndio inayoweza kupuuzia maonyo aliyotoa bwana...
Jina la Tundu Lissu, ndio linalotajwa sana kwa Sasa kuliko Mtazania yeyote hususan kwenye mitandao ya kijamii.
Jina hili linatajwa kwa ubaya na uzuri. Kwa kipindi cha takribani siku mbili...
Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.
Pingamizi...
Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini
Update zaidi kuwafikia
====
Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na...
Wasalaam wana bodi,
Poleni sana na majukumu ya kulijenga Taifa.
Nchi yetu inaelekea katika uchaguzi mkuu na tayari mbiu imekwisha lia na amsha amsha za hapa na pale zimeanza.
Kuanzia tarehe 27...
Kazi ya Vyombo vya Habari ni kutoa taarifa bila kujalisha taaarifa inahusu nini. Kufungia vyombo vya Habari kwa sababu za kihunihuni ni Uonevu uliovuka Mipaka.
Kama ni Machafuko, anayeweza...
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa...
Kama ni kweli haya tunayoyasikia katika mchakato huu wa uchaguzi, kuenguliwa kwa idadi kubwa ya wapinzani kwa kile kinachoitwa kukosa sifa. Je, wahusika hawaoni kuwa hii hali inaweza kupelekea...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na...
Ni wazi sasa kuwa nguvu kubwa imewekwa kwenye Urais huku Ubunge na Udiwani ukiwekwa pembeni. Hili linadhihirishwa kwa jinsi matatizo ya kuenguliwa wagombea yalivyoshughulikiwa mpaka dakika ya...
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake...
NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa...
Ndugu zangu kwanza kabisa nimshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehema zake, Nijikite kwenye mada yangu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ACT-Wazalendo na CHADEMA mnadeni kubwa kwa...
Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania.
Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.