Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha...
2 Reactions
2 Replies
531 Views
Ubunifu wa Gen Z yanayoendelea Tanganyika
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Salaam! Sasa tushike katiba ya chama au katiba ya nchi kwenye suala hili? Kwa kuwa mchakato wa kupata mgombea Urais kwenye vyama kulingana na katiba kifungu 38:2A umetaja muda kuanza mambo hayo...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia. Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi. Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye...
42 Reactions
111 Replies
6K Views
Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
0 Reactions
3 Replies
285 Views
Watanzania mpoo, Leo nakutana na RIDHIWANI, mnataka nimwambie nini? Makavu bila chenga Leteni ujumbe wenu wa wazi, bila kuzunguka
1 Reactions
21 Replies
849 Views
Soma hiki kipande cha hotuba ya J k Nyerere ili twende sambamba kupata jibu sahihi kuhusu watoa rushwa nyakati za uchaguzi hukusudia kumtumikia nani... Tunajua wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa...
3 Reactions
9 Replies
544 Views
Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana. Mwaka 2015...
39 Reactions
87 Replies
5K Views
Hakika kuna jambo Gwajima alikuwa analipanga. Alikuwa anajikosha kujifanya nini sijui, kipindi cha uchaguzi dola inakuwa makini kwa asilimia 1000,000, kama unataka kufadhili magenge ya uhalifu...
3 Reactions
73 Replies
4K Views
My Take Haters wa SSH wanapata tabu sana yaani wamebakia na fitina,uzushi na majungu Kila Kona mama amewakaba 🤣🤣👇👇 https://www.instagram.com/p/DMcrO4Mqdsn/?igsh=dW96djZ5anVtOTZn
1 Reactions
11 Replies
287 Views
Anayeweza kutueleza Gwajima kafanya kosa gani atueleweshe. Kwasababu naona maandiko mengi sana lakin hakuna mtu ametuelezea kosa lake hasa ni nini??
1 Reactions
2 Replies
267 Views
Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu...
3 Reactions
11 Replies
483 Views
Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia...
0 Reactions
10 Replies
605 Views
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii. Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko...
1 Reactions
12 Replies
759 Views
Wakuu, Hivi ni lini media zitafahamu kwamba hizi propaganda za kitoto za kuchukua wananchi feki ili ku-adress spana a gavoo hazifanyi kazi tena Jana Mange aliweka video kuonesha kuwa wananchi...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
Moja ya kitu ambacho kinahitajika kwenye kufanikiwa kwa kila taasisi ni kumuweka mtu anapostahiki, kumpa mtu sifa anayostahiki lakini kumpa majukumu mtu anayostahiki zaidi eneo alilobora zaidi...
1 Reactions
9 Replies
646 Views
Back
Top Bottom