Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na...
Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio.
Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao
Bhagosha!!!
Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi.
Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025...
Introduction
As Tanzania stands at the crossroads between the concluding aspirations of Vision 2025 and the bold ambitions of Vision 2050, the time has come for a critical national reflection...
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya...
Rank
Country
% of Women in Parliament
Global rank
1
Rwanda
61.3%
1st
2
Senegal
46.1%
11th
3
South Africa
45.8%
14th
4
Namibia
44.2%
19th
5
Mozambique
43.2%
20th
6
Ethiopia
41.3%
25th...
Sijaelewa ni kwa nini Kila akikosolewa Samia Suluhu Hassan ndani ya chama chake ama kama Rais hoja kuwa ukosoaji huo unatokana na dini yake huibuka.
Hivi ni Rais gani wa nchi hii ambaye hajawahi...
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life...
Wameingiza baridi "No Reforms No Election" imewapoteza kabisa. Wakubali masharti:
1. Mh. Lissu aachiwe huru na kufutiwa mashtaka yote.
2. Wafanye mabadiliko chanya ya sheria za uchaguzi.
3...
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.
Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM...
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama...
Humu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts.
Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.