Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Tunaishi katika kizazi kinachoshuhudia mapambano makubwa ya haki dhidi ya dhuluma. Katika ardhi hii ya Tanzania, ardhi yenye historia ya amani na upendo, kumechipuka sumu ya uonevu, wizi...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
Wasalaam team. Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe na kuteuliwa kuuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu, Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17 Majimbo...
22 Reactions
96 Replies
6K Views
Na bado! Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wote ni wachumia tumbo, Wote Ni matapeli, Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo, Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na...
2 Reactions
3 Replies
352 Views
Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake...
25 Reactions
121 Replies
4K Views
Ufuatiliaji wa Chaguzi za Chama Tunakuomba ufuatilie kwa umakini mkubwa mambo yafuatayo katika chaguzi za Chama, hasa wakati wa kupitishwa wajumbe. Ni muhimu kuzingatia majina matatu ya madiwani...
0 Reactions
15 Replies
998 Views
Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwishoni mwa utawala wa Mkapa kuna hoja ziliibuliwa na watawala walio kuwa kazini na wastaafu nchi hii kuhusu hatima ya kizazi chao kwenye utawala wa nchi hii, Hofu yao ilikuwa ni kwamba huenda...
46 Reactions
186 Replies
17K Views
Mungu ulie tupa taifa zuri Tanzania chini ya mkono wa hayati baba wa Taifa Julius Nyerere tunakuomba tunakuomba maana kama Mwl angekuwa mlafi na tamaa angejimilikisha taifa zima na kuwa mali yake...
12 Reactions
17 Replies
913 Views
Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea. 1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais. Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi...
4 Reactions
9 Replies
648 Views
Wazo la Leo: Wananchi wa Tanzania wanataka mabadiliko; Watanzania wamekuwa wakitaka mabadiliko ya mfumo wao wa utawala kwa muda sasa. Ukiangalia utaona kuwa vijana wanaodai mabadiliko sasa hawana...
35 Reactions
169 Replies
19K Views
Umesahau uliyoyasema huko nyuma?
0 Reactions
10 Replies
731 Views
Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
GT Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali. Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Dodoma – Januari 2025 Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania...
19 Reactions
348 Replies
21K Views
Wakuu, Katika dodosa zangu nimekutana na taarifa za huyu mwandishi ambaye anaitumia kalamu yake visivyo na kilichonishtua ni taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha mwandishi huyu pamoja na...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu, Kuhusu kwanini Watanzania hawaandamani au kuungana pamoja kupinga uonevu unaoendelea nchini nadhani hii video imeelezea vizuri kwanini Watanzania hawafurukuti Huyu mhadhiri ameielezea...
21 Reactions
21 Replies
2K Views
Polepole ameelea kuwa asingeweza kukosoa huku akiwa Balozi "Mimi ni balozi kama nyie hamsemi mimi nitasema, lakini siwezi kusema nikiwa balozi. Mama huyu ananipa mimi kula na familia yangu...
9 Reactions
7 Replies
951 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…