Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi...
28 Reactions
88 Replies
5K Views
Kitu ambacho tumejifunza katika siasa za hapa Nyumbani ni kwanba Mzee Lowasa na Mzee Jakaya hawataacha kujitokeza katika Makundi ya Siasa zetu. Na kama kuna kitu walifanikiwa katika hili Taifa...
2 Reactions
6 Replies
542 Views
CCM ndiyo habari yenye kuuza Kila sehemu usipoandika habari za CCM huwezi pata wasomaji kabisa yaani Hadi nawaonea huruma wapinzani Mkilala mnawaza CCM mkiamka mnawaza CCM mkienda kusaka...
3 Reactions
18 Replies
653 Views
Kuna supu inayochemka kwenye presha kuka. Ndani yake kuna kuku wa kienyeji, viazi, na ndizi – vyote vimeshaiva tayari. Lakini Mama Ntilie kaenda kando, anakula chapati zake kwa utulivu. Ameketi...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na...
9 Reactions
165 Replies
4K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake. Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimesoma mahali fulani mitandaoni Salary Slip akidai Kiongozi mmoja anaweza kuzomewa kwa kuingilia mchakato wa kumpata mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Nashauri wanabodi Someni Katiba vizuri...
0 Reactions
5 Replies
377 Views
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija...
13 Reactions
85 Replies
5K Views
Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100...
1 Reactions
9 Replies
432 Views
Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
1 Reactions
7 Replies
413 Views
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August. CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na...
17 Reactions
55 Replies
3K Views
Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Je kwanini target iwe Chuo cha SAUT . Je mtaweza, ebu tusubiri ? No time no space that will erase God's Spirit.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu ni ukatili wa mfumo wa ajira ambao unaendelea kunyonga ndoto za vijana wa Kitanzania waliokaanga akili darasani, wakavumilia kusota kwenye maktaba, wakaishi kwa mihangaiko ya boom isiyotosha...
7 Reactions
13 Replies
583 Views
Mimi siyo Nabii Wala sijaota ndoto yoyote ya Kimbingu, lakini Ninatumia Logic ya kawaida sana. Nasema kama Mbowe atajiunga Chauma. Asipojiunga ni story nyingine. Soma statement tatu zifuatazo...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitafanya kura ya maoni kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika ngazi ya Kata/Wadi na Majimbo kwa Tanzania Bara na Zanzibar Agosti 4, 2025...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious...
3 Reactions
0 Replies
296 Views
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
Mimi nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 70. Hadi miaka ya 1980 naanza kupata uelewa, nagundua kuwa watu wachache sana kwenye ukoo wetu walijua kusoma na kuandika kiswahili. Waliojua Kiingereza...
6 Reactions
3 Replies
307 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…