Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku... 2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..? 3. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa 1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa 2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo...
0 Reactions
8 Replies
430 Views
Chadema Katiba imefuatwa Mbowe kanuna na kikundi kutokea Kaskazini wamehamia Chaumma Huku CCM nako yule Polepole anadai Katiba haijafuatwa Vurugu kila kona Hivi Siasa za Tanzania zimesimamia...
1 Reactions
7 Replies
388 Views
Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
Kesi inaendelea mahakani... Mzee wa kanisa anajitokeza anaongea mengiiii anawapoteza na mnamuamini kisha anapotea ghafla. Anaibuka balozi mtu ambae amezungukwa na hao watu Kwa Kila analofanya...
2 Reactions
7 Replies
376 Views
GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama...
2 Reactions
6 Replies
417 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua...
1 Reactions
12 Replies
743 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mara Baada ya Kuingia Madarakani Rais wetu Mpendwa aliikuta Nchi ikiwa na mgawanyiko mkubwa sana na kukiwa hakuna Umoja wa kitaifa kutokana na chuki za kisiasa kumomonyoa...
5 Reactions
288 Replies
10K Views
Historia huwa haidanganyi. Insha Allah Tunamuombea atoke salama kwa jina la Mwenyezi Mungu, Allakhuakbar. Mh Tundu Lissu amepigana vita vingi. Hakuna kitakachomzuia kuwa Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
8 Replies
479 Views
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake, Muhula wa kwanza 2025 - 2030 Muhula wa pili 2030 - 2035 Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
0 Reactions
3 Replies
337 Views
https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu. Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake. Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini? Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
22 Reactions
36 Replies
2K Views
Pole sana rafiki yangu kachupi mwana Aza boy mwenzetu Mimi na Pole pole🤣😂😀😝 hii kazi nakumbuka uliipata miaka 3 baada ya kutoka Azaboy. Usiku wa Leo majira ya SAA TANO ukujua lire pagala...
32 Reactions
175 Replies
11K Views
Naomba kujua kazi za katibu tawala,naomba kufahamu kazi ya KATIBU tawala wa mkoa, na tofauti ya mkuregenzi wa maendeleo wa mkoa.pia kama kuna KATIBU tawala he mwenyekiti tawala ni nani katika...
1 Reactions
28 Replies
34K Views
Back
Top Bottom