Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana...
Maana kwa sasa ni pamoto sana, Mama Samia muachie Lissu, fanya Reform na ingia kwenye uchaguzi bila kuogopa kitachotokea na ndiyo heshima kubwa utaiachia nchi hii.
Wananchi watakutetea sana, ila...
Nimeangalia mwanzo mwisho wa Press conference ya Katibu mwenezi wa CCM TAIFA na WAANDISHI wa HABARI.
Alipomaliza kutoa taarifa yake alikaribisha maswali kutoka kwa WAANDISHI wa HABARI...
Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea...
WAKUUU
nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana.
Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa...
"Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati...
Mawakili wa CHADEMA wanaijibu Mahakama kuhusu zuio la viongozi wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za CHADEMA.
https://www.youtube.com/watch?v=CWE21IAhJ9A
Baada ya...
salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,
nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi...
Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge.
Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani...
Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini?
Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea.
Mbunge kamati ya...
https://youtu.be/CgyBs9twems?si=zmVMyhWhW6u4JAPf
Tundu Antipasi Lissu amethibitisha kuwa ni mwana sheria nguli aliyebobea katika maswala ya sheria za Kitaifa na Kimataifa. Msikilize hapa...
IAM DEEPLY CONCERNED.
YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !?
Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika...
Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!!
Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!!
Mngekaa...
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha...
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania...