Leo kwenye kijiwe chetu cha kahawa alikuja mzee mmoja anakimbia kuwahi siti atupe ABCD kwa alichosikia kutoka huko kijiwe cha mzambarauni.
Mzee kasema kuwa huko kwenye wapishi wengi wa chakula...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi teule na nchi yenye kuonesha njia kwa Africa na Dunia katika nyanja zote.
Wapo maadui wengi dhidi yetu wenye mbinu mbalimbali lakini Tanzania ni babalao...
Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima...
George Michael Uledi!
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na...
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama!
Kama kweli...
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge.
Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia...
Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi.
Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya...
Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa.
Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji.
Je ubalozi...
Nimeona kuna pengo kubwa sana la kuwa na viongozi makini.
Tuna tatizo la msingi la kutokuwa na viongozi waliopigwa msasa wa kuongoza...bado tumeamini katika vipaji zaidi badala ya weledi...
Ni fact kuwa tulipokuwa tunaelekea uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa hoi bin taabani katika taswira yake kweye jamii.
Alihitajika mwamba wa kuikomboa.
Nampongeza Mhe Jakaya kwa kutulutea JPM...
Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.
Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.
"Hakuna kiumbe...
KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya...
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.
Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.
Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.
Ni kweli ipo mifano toka karne...
Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani.
Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi.
Hilo haliwezekani kamwe.
Bwana wetu Yesu...
Chama cha Ukombozi wa Umma kimefanya Uzinduzi wa ofisi ya chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro leo Julai 19,2025 na kuhudhuriwa na wafuasa mbalimbali wa chama hicho.
Sambamba na uzinduzi huo pia Chama...
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World...
Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo nchi ya Kula Wazee tuire kweri Maisha mbona yanaenda wakuu nyie mna shida gani?mna njaa? pombe...