Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa...
Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote .
Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye .
Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana...
Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu.
Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya.
Wengine wanajipitisha...
"Najua nitakufa sitapona ugonjwa huu nawaacha watanzania wangu najua watalia sana nami nitawaombea kwa Mungu, naondoka nikiwa nime waachia taifa moja lenye umoja na amani. Wosia wangu kwao...
Licha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia...
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.
CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa...
Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote"
Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea.
Faida zake ni chanya na hasi .
Waliotoa mchele na pesa ndani ya CCM mwaka wa uchaguzi wameitwa watoa rushwa lakini Rais Samia ametoa baiskeli na manguo na yeye mbona hamsemi anagawa rushwa ? mwambieni Samia unatoa rushwa pia...
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,
Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??
Na je, hii haileti ishara...
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma...
2005
Top 3 waliochujwa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr Salim Ahmed Salim
Prof Mark James Mwandosya
Wagombea wengine
Frederick Tluway Sumaye
John Samwel Malecela
Getrude Mongela
Patrick Chokala...
GT
Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda.
Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini...
Kila zama na kitabu chake..by Ali Hassan Mwinyi
Tuangazie namna Tanzania yetu tungetaka iwe leo zama hizi.
Ndoto zangu na zako mdau tuziunganishe.
Hata Traore alianza na ndoto.
Mabadiriko...
Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa.
Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni...
WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti...
Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya...
Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu...