Siyo siri, CCM yangu inapitia wakati mgumu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,190
Reaction score
29,937
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
 
Nikumuomba MUNGU hofu YANGU ni pale WATU watapo ona suluhu ya MATATIZO NIKu beba bunduki eeh MUNGU tunusulu
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Hii ni mara ya pili CCM inataka kufa mikononi mwa JK
 
Sasa we zombie ni km nani? si wa kupuuzwa tu? Undenì chama chenu cha "Sukuma gang" CCM ni imara sasa hv kuliko wakati mwingine wowote hakuna wa kuiteteresha, mtakuja kubweka humu km misukule ambapo wanachama wengi na wapiga kura halisi ht hawamo.
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Lini CCM HAIJAWAHI kupitia kipindi kigumu?
 
Neno la Mungu linesma wazi kuwa mashindano huamuliwa kwa kura, hiyo ndio njia pekee ya kuamua mashindano.
 
Back
Top Bottom