Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba orodha ya watia nia waliokataa majimboni. Mfano Gambo Arusha Makamba Bumbuli
2 Reactions
1 Replies
496 Views
Huu ndio Ukweli!!. Nchi hii Toka kuasisiwa kwake, Kwa jicho la karibu utagundua muda wote ipo kwenye Mikono ya Viongozi waandamizi wa Dola ambao Kwa Matendo yao na Imani zao wanajua kabisa kua...
5 Reactions
15 Replies
773 Views
Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki. Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!. Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa...
2 Reactions
2 Replies
424 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanalea kizazi chenye maadili mema, heshima, na uwezo wa kujenga hoja, ili kuimarisha...
1 Reactions
11 Replies
680 Views
Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
7 Reactions
24 Replies
1K Views
RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA TRA MKOA WA SIMIYU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 16.06.2025 amezindua jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma" "Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa...
21 Reactions
75 Replies
5K Views
DPP V. Yahaya Upanga & Another, [1983] TLR 151 (HC), In Republic V. Twalib Umbwa [2005] TLR 420 (HC). In DPP V. Yahaya Upanga the Court said: “If the court refuses to adjourn the case after an...
20 Reactions
56 Replies
4K Views
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha 1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani 2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri...
3 Reactions
11 Replies
578 Views
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi. Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu...
67 Reactions
106 Replies
6K Views
Mtia nia wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi mkuu kupitia Chama cha Wananchi CUF Nkunyuntila Siwale amesema endapo Chama chake kitampa ridhaa ya kuwania nafasi ya Urais atawapa ajira Vijana wote...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri...
17 Reactions
235 Replies
8K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajf, Mwaka juzi na mwaka Jana nilifuatilia uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2024 kwa miaka miwili mfululizo. Na sasa nafuatilia uchaguzi wa hapa kwetu Tanzania. Nimegundua kuwa Kuna matukio 8...
4 Reactions
7 Replies
657 Views
Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
2 Reactions
6 Replies
613 Views
Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa. Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe. Kuhusu...
2 Reactions
6 Replies
461 Views
Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote...
9 Reactions
18 Replies
903 Views
Sehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia. Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa. Afrika kuendelea ni ngumu kama...
0 Reactions
23 Replies
685 Views
Back
Top Bottom