Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hizi
1. Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema...
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama...
Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha mpaka mnataka mniue na mimi !!!😱
Wanachadema punguzeni jaziba , sis sote ni watanzania sema utofauti ni upande wa kiganja tunapo pokelea...
Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau .
Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa...
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe...
Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara...
DAR. Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji Leonard Magere, wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi na wametakiwa...
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Matangini, Mlimba – Morogoro, Suzan Kiwanga alisisitiza kuwa haoni sababu ya chama tawala kuachwa kipite bila kupingwa, akisisitiza...
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.
Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime...
Mtume (SAW) alisema:
"Majaji wako wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule aliyejua haki na akaihukumu kwa haki, huyo yuko Peponi. Yule aliyefanya hukumu bila elimu...
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi, Suleiman Bungala maarufu kwa jina la "Bwege", ametoa wito kwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuketi na vyama vingine vya siasa ili...
https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk
Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo...
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa.
Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha...
Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee...
Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa...
Aliyewahi kuwa Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliwahi kunukuliwa akisema kuwa mtu akiwa amenyooka kama rula ndani ya CCM, akimaanisha kuwa mtu wa kufuata maadili...
Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
"Kwa mtu anayependa haki hawezi kubaki nyuma, kuna namna tu lazima atashirikiana na wenzake katika mapambano ya kudai haki. Vita ya mpenda haki mmoja ni vita ya wapenda haki wote. Leo tukiwa...
Mwaka 2024, kampuni maarufu na inayoheshimika kimataifa katika tathmini za kiuchumi na uwezo wa kulipa madeni — Moody’s wameitaja Tanzania katika nafasi ya juu zaidi ukilinganisha na majirani zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.