Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.
Aidha...
Maneno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.
Katika matamshi...
Nilichokiona Juzi Jumapili katika Nyumba Kubwa mbili zenye Kuwaunganisha wenye 'Dhambi' na aliye juu 'Mbinguni' hasa za Mwenge na Tanganyika Packers hakika sasa nimeamini ule Msemo wa Wahenga wetu...
Hakika Tanzania kumekucha, tusio wanasiasa tunaanza kupokea CV za walio tutaka tujiajiri rejeeni kauli zao walipo kuwa Bungeni.
Sina haja ya kurejea kauli zao,nimeisoma Ilani ya chama cha...
Utamu wa kampeni za mwaka huu mawe yanarushwa upande mmoja tu tofauti na 2015. Mfano leo kalipua liinternational airpot la chotola. Tofauti na 2015, EL alitupa kigugumizi lilipokuja suala la...
Nimesoma ilani ya CCM aka Thesis, ya CHADEMA, na ACT-Wazalendo. Kusema ukweli ACT-Wazalendo wamedhihirisha wana wasomi vichwa.
Kwanza wamechambua mapungufu katika utekelezaji wa ilani ya chama...
Vunjo
Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa Sekta za kifedha katika Jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na Serikali.
Dkt...
Moshi.
Miundombinu kwenye masoko yaliyo mengi katika jimbo la Vunjo imetajwa kutokwa rafiki hivyo kufanya biashara kufanyika kwenye mazingira magumu na hatarishi ikilinganishwa na maeneo mengine...
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli...
Mada inahusika.
Wakati akitaja majina ya wateule wa nafasi ya kugombea uwakilishi kwa Zanzibar, Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Polepole alisikika akitumia neno Mzee yule akimlenga...
ILANI YA CCM INATOA SULUHU YA MASWALI, ACT NA CHADEMA ZINALALAMIKA
Na Elius Ndabila
Nimefanikiwa kuzisoma Ilani za vyama vitatu, yaani Ilani ya CCM, ACT Wazalendo na CHADEMA. Nikiwa ninazipitia...
Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form.
Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza...
Wanabodi salam!
Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao.
CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni...
Habari za muda huu ndugu wana JF, napenda kuwashirikisha jambo moja ambalo kwa undani wake naona linatatiza watu wengi.
CHADEMA kupitia mgombea wetu uraisi imeweka wazi kuwa pesa hakuna na hivyo...
Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu.
Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika...
Ingawa mgombea wao Ameanza kunadi Sera zao, lakini hayapo uzito Mambo yanayowagusa wengi. NI Kama anasema tu juu juu na kukazia maswala binafsi yanayomuhusu yeye na watu wa chama chake.
Ajira...
Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA.
Kwa maana hiyo ni...
Salaaam wanajamvi,
#Swali fikirishi:
Kuna haja gani mikutano ya kampeni ya CCM kuoneshwa live kupitia vyombo vya habari ili hali washindani wake hawaoneshwi? Je, tutasemaje tunaomba kura ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.