Uchaguzi 2020 Mafuriko ya Dkt. Charles Kimei jimbo la Vunjo

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
220
IMG_1598968888.719923.jpg
IMG_1598968905.229877.jpg

Huu ndio mkutano wa mgombea CCM wa jImbo la Vunjo Charles Kimei, Njia Panda, Himo.
 
Kamsa kamrai huyo lazma ashinde. Aliahidiwa kazi alipokuwa anastaafu CRDB
 
Yani majasho unampigia kampeni na bado unamnafikia huku

Ngoja kama hiyo tenda hatukunyang'anyi
 
Kumbukeni alifungua branch ya CRDB huko Chatto ili kujipendekeza kwa Jiwe ingawa kulikuwa hakuna biashara; na imewalazimu kulifunga lile tawi kwani ni hasara tupu!!!
 
Huyu anatakiwa kupigwa chini ili akasimamie tawi la CRDB Chato. Ila Vunjo bora jimbo libaki wazi kuliko kumpa yule Lialia.
 
Back
Top Bottom