Uchaguzi 2020 Huku wa Ubungo akidhani kuwa 'Maadui' zake ni 'Waislamu' na 'Wakatoliki' ila hawa Wawili wa 'Mwenge' na 'Tanganyika Packers' ndiyo 'watamuhujumu'sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Nilichokiona Juzi Jumapili katika Nyumba Kubwa mbili zenye Kuwaunganisha wenye 'Dhambi' na aliye juu 'Mbinguni' hasa za Mwenge na Tanganyika Packers hakika sasa nimeamini ule Msemo wa Wahenga wetu usemao kuwa Siku zote Kikulacho kipo Nguoni mwako. Na Siku wale ndiyo huwa wanaenda 'Kukuumiza' mara nyingi sana ndiyo huwa wanajifanya Kukutia Moyo kila mara na 'Kukuvimbisha' Kichwa.

Najua wa Ubungo baada ya kama Wiki mbili hivi GENTAMYCINE 'Kumchana' hapa hapa kuwa pamoja na kwamba 'Poti' wake 'Kamuidhinisha' Kulipambania Jimbo la 'Kitajiri' na lenye 'Matapeli' wengi ambao 'Ng'ombe' huwa wana njia yao 'Maalum' huko kuwa ana 'Deni' kubwa na Waislamu na Wakatoliki ameshaanza Kuomba 'Po' kwa Waislamu na nasikia anataka 'Kuwaangukia' na TEC pia.

Ila leo hii napenda 'Kumsaidia' wa Ubungo kuwa kwa nilichokiona Siku ya Jumapili na niliyoyasikia leo hii ( Usiku huu huu ) kutoka kwa 'right hand Men' wa akina Mwenge na Tanganyika Packers sasa ni rasmi kuwa hawa ndiyo wanaenda 'Kumuhujumu' ili 'aanguke' kwani wote Wawili inasemekana huwa wanakutana katika 'Mkakati' wa 'Kummaliza' wa Ubungo kwa 'Gharama' zozote zile tu.

Na nilichoambiwa tu ni kwamba hawa wa Mwenge na Tanganyika Packers wanaogopa wa Ubungo akipita 'atawapunguzia' Watoa Sadaka na Dhaka.
 
Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
 
Na nilichoambiwa tu ni kwamba hawa wa Mwenge na Tanganyika Packers wanaogopa wa Ubungo akipita 'atawapunguzia' Watoa Sadaka na Dhaka.
'Shamba la Bwana ni kubwa sana ila wavunaji ni wachache'...hivyo hawawezi kuogopa kukosa sadaka.

Watapata tu hizo sadaka na dhaka iwe ameshinda au ameshindwa.
 
Back
Top Bottom