Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapo 👉Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) lililopo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam ambalo kwa Wiki tatu limetumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini...
Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika.
Project zilianza pale wana elite ndani...
Karibu kila mtu anajua kuna hali tete sana kuhusu uongozi wa Raisi Samia kukubalika na viongozi wengine ndani ya CCM. Na kwa sababu CCM ina utaratibu mbovu kwamba Rais ndie anakuwa Mwenyekiti wa...
Karani katika halmashauri ya Muheza jijini Tanga, Saum Juma amesema ongezeko la mshahara lililotangazwa na Rais Samia Suluhu litawanufaisha kwa vitu vingi ikiwemo kununua viwanja, kujenga nyumba...
Wanachama watatu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamefungua shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, wakiomba kibali cha kufungua shauri la jinai kwa walalamikiwa wanne wakiwamo viongozi...
Shauri lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini la kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima linaendelea...
Mtia nia wa ubunge Jimbo la Mkinga mkoani Tanga kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Wakili Msomi Recho Kiogwe, amesema historia ya kudai mabadiliko ya kisiasa nchini ni ndefu na...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa...
Jeshi la Polisi Mkoa Lindi, limemuachia Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa muda kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho katika mkutano wake wa hadhara...
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu...
Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Bi Victoria Mwanziva amekabidhi magurudumu (Matairi) kwa ajili ya gari ya Chama - CCM Wilaya ya Lindi Vijijini- katika kuunga mkono jitihada na kazi nzuri inayoendelea...
Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao.
Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha...
Vyombo vingi vya habari Hasa MAGAZETI mengi yameandika habari ya Kujiuzulu kwa Balozi Polepole ila kinachonishangaza ni jinsi walivyoandika habari hiyo
Vyombo vingi vimeandika Balozi Polepole...
Wandugu,
Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati wa...
Habari ya Humphrey PolePole kujiuzuru ubalozi kwa style ya kumshushia tuhuma nzito rais Samia kwenye nyanja kuu tano (Mdodoro uliopitiliza kwenye Usalama wa kiraia, Demokrasia, Haki za binadamu...
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia...
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana
Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema...