Ni lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu???
Niliuliza...
Wengi wanadhani kesi za kisiasa zimeanza Leo la hasha tangu mwaka 0033 tayari kesi hizo zilishakuwapo na hata kabla
Kama unabisha kasome Biblia yako
Ahsanteni sana 🙏🇮🇱
Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia...
===
Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya...
Habari wanajukwaa?
Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi...
Mtu aliyefungiwa ndani peke yake akikuuliza nje kukoje inabidi utafakari kwa Hekima sana
Mungu wa mbinguni huwatokea na kunena na Waja wake faraghani
Aiseee 🐼
Huo ndio ukweli hata angeingia Ndugai, Bashiru au hata huyo Polepole bado asingekubali kuishia 2025
Katiba siyo mjinga kuweka kanuni za mrithi wa Rais kwamba akirithi mapema atakwenda mihula 2 na...
Kiongozi wa Taasisi ya Vijana na Wanawake, Elvis John Makumbo alieleza kwa nini watu wengi wamejitokeza kuchukua fomu CCM, wakiwemo wasanii, waandishi wa habari na wafanyakazi kutoka sekta za...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali...
CDE Samson Kasara, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukerewe katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wananchi, Kasara amesema amedhamiria...
Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini
Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo...
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua...
Demokrasia yetu bado ni changa ndio sababu uliona mwenyekiti wa Chadema aliposhindwa kutetea Uenyekiti wake amesusa hadi Leo sasa mtu kama huyo akiwa Amiri Jeshi mkuu hawezi kuachia madaraka...
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma.
Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi.
Wengine...
Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa...
Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali...
Wakuu!
Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa Operesheni Majimaji inayofanywa na chama hicho inalenga kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura yao, ambayo amesema...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali...