Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa...
Huyu mama ameshajua wapi panavuja kwenye Katiba yetu, kama Rais mwanamke lazima hataacha kero ya Katiba hivihivi. Kinachotakiwa ni watanzania kumpa moyo, utulivu na mazingira ya kuandika katiba...
Wananchi wa Tunduru, mkoani Ruvuma leo wamejikuta wakigombania kadi za kuomba uanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Tukio hilo limetokea leo baada ya viongozi wa chama hicho...
Kazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya...
Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama...
Wakuu!
Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, inayotarajiwa kuzinduliwa mchana wa leo, inaweka mkazo mkubwa katika kujenga Tanzania ya Kidijitali. Kupitia dira hiyo, Serikali imelenga kuhakikisha kuwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Fadhili Maganya amezungumza na Arusha zone Media akiwataka Askofu Josephat Gwajima na Humphrey Polepole pamoja na washirika wao...
GT
Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama.
Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata...
Asante sana presidaaaa Samia Suluhu Hassan, president of the United Republic of Tanzania.
Mtu anapimwa kwa matokeo sio maneno, udini, chuki, wivu nk.
Hakuna serikali iliyomwaga mahela kwenye...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia...
Tuwapongeze akina Gwajima, Heche na wengine kwa kuwaruhusu wasemeseme tu vile wanavyovisema na namna wanavyovisema, maana hayo ndiyo matakwa ya demokrasia za Magharibi. Kama hawavunji sheria...
Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa...
Ndugu wananchi ninapohitimisha napenda kutoa wito na maelekezo yafuatayo kwanza tubadili mtazamo na namna tunavyofanya kazi na kupimana kwani dira 2050 imeweka lengo na shabaha kubwa kufikia...
Raisi akikaa miaka 10 lazima aondoke
Hili liende hadi kwa mawaziri na wabunge
Kama mtu kakaa bungeni miaka kumi iwe kwa kuchaguliwa au viti maalumu au alikuwa upinzani kama mbunge akaja CCM...
Hii si ya Kukosa Wakuu!!.
Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!.
Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda...
Yona kwenye Biblia aliambiwa na Mungu nenda Ninawi kahubiri huko watu watubu yeye akaona Ninawi nchi maskini sadaka na mafungu ya kumi na pesa hakuna akaamua aende Tarshishi kwa matajiri...