Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikiwa wazungu wana nia ya kuikomboa Africa waanze na hili swala . MTU anafunguaje account nchi za ulaya na anaweka mabilioni ya fedha huko. Mshahara wa waziri na Mbunge na wa viongozi wa juu...
7 Reactions
26 Replies
898 Views
Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi...
0 Reactions
12 Replies
759 Views
Ni swala la muda tu wote watajulikana
0 Reactions
16 Replies
696 Views
Ndio maana wanasiasa wengi huwa wanaitwa wachumia tumbo. Watajifanya wanagombea nafasi za uongozi kwa sababu wanaipenda nchi na wananchi lakini inakua ni uongo mtupu, wanataka kujinufaisha tu wao...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata...
0 Reactions
5 Replies
357 Views
Vyombo vya juu kabisa vya kichama ndivyo vilivyofanya maamuzi sahihi,ndani ya mikutano yake,na kura zikapigwa kizuri zaidi kura zote kwa asilimia 99.8 zikaafiki,na kumsimika,ya kwamba hawa ndiyo...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Niaje waungwana Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo...
1 Reactions
7 Replies
644 Views
Watanzani na unafiki ni kitu kimoja. Makabila madogo yanafuata mkumbo. WAHAYA,WACHAGGA,WANYAKYUSA,ngoshaWASUKUMA. Wanaongoza nchi. Ukabila hautakiwi TANZANIA.
0 Reactions
5 Replies
324 Views
Salama Wakuu, sasa nimeamini adui namba moja wa demokrasia na siasa za vyama vya upinzania ni Freeman Mbowe. Wanachama wa CDM wameteswa na wengine kuuwawa na kupotezwa kumbe FAM anajua na...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya...
2 Reactions
3 Replies
370 Views
GT Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out. Ndugu zangu kumbukeni Mhe...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Kama jamii tunapaswa na tunaaswa kumuuliza kwa kina Balozi Humphrey PolePole ni mambo gani muhimu ameyatekeleza akiwa anahudumu kama balozi Malawi na ukanda wa karibiani. Zaidi aeleze ni makubwa...
1 Reactions
20 Replies
851 Views
Bado mifumo ya Tanzania Ina KAZI kubwa mnoooo! Wale inao zania ni watu MAKINI wapewe fursa Ina itaji kuwacontro sana mbele za kamera ili jamii iwaelewe la sivyo system itaendelea kuingia Chaka...
4 Reactions
0 Replies
224 Views
Ana contents nzuri sana huyu jamaa.Tatizo lake ni uongeaji wake wa siku hizi wa kimizaha mizaha. Kiukweli nikufurahishwa na mizaha mizaha yake alipokuwa akiongea mambo nyeti ya kitaifa. Mlio...
4 Reactions
9 Replies
634 Views
Hilo ndo lengo lake. Nashauri ikalieni kimya. Mtanishukuru baadae.
0 Reactions
7 Replies
506 Views
Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea...
0 Reactions
22 Replies
705 Views
Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa...
3 Reactions
1 Replies
440 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking...
15 Reactions
76 Replies
9K Views
Kile kikundi kidogo cha dola ya CCM kilidhani adui yao ni Chadema na Lissu. Wakatoa hela nyingi kuhakikisha Chadema inaparanganyika ili ife. Wakamkamata Lissu na kumuweka gerezani. Wakatumia...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…