Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali...
Naona since Mwezi huu uanze na issue ya Baba mpaka piko kichwani .
Kinachofata ni ramli .
Kama mpaka muda huu kitalu namba inne hakijalimwa msiniambie chochote kuhusu ramli .
Ikiwa hakuna wa...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Muda hajapita wa kukaa mezani sasa hivi kuna Miezi Mitatu [Julai kuna Agosti na Septemba], Watu hawawezi...
Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq...
Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali.
Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised...
Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande...
Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu.
Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na...
Kama unabisha tafiti kuanzia mfumo wa vyama vingi uanze wagombea Urais wa JMT kupitia CCM walipatikanaje!
Ukipenda tafiti hata yule wa 1985 alipatikanaje? Itakusaidia kuujua utamaduni wa CCM na...
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM...
Naam wakuu,
Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada...
Rais Samia amepeleka vijana wengi katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), amepanua miundombinu na kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na jeshi kutoka 160,427 mwaka 2020 hadi 190,059 mwaka 2025...
Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata...
Huyu Mzee alihudhuria Kesi ya Tundu Lissu Kisutu tarehe 16/7/2025 na alitokea Babati, Ni kiongozi wa Bazecha Babati anaitwa Francis Luumi
Taarifa zinaeleza kwamba baada ya kesi hiyo aliwaaga...
Nyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya...
MUSTAKABALI WA TANZANIA KATIKA CHANGAMOTO ZA KISIASA NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Tanzania ni nchi yenye historia ya kipekee katika Bara la Afrika – historia ya amani, mshikamano, na uvumilivu wa...