Rais Samia kapeleka vijana wapya 30,000 JKT mnasemaje?

LopoLopo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2025
Posts
292
Reaction score
160
Rais Samia amepeleka vijana wengi katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), amepanua miundombinu na kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na jeshi kutoka 160,427 mwaka 2020 hadi 190,059 mwaka 2025.

Katika kutambua kuwa Jeshi la Kujenga Taifa ni nyenzo muhimu ya kujenga ujasiri, uzalendo na dhana ya kujitegemea miongoni mwa vijana. Vilevile, SUMAJKT imeweza kushiriki kikamilifu kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya uzalishaji na miradi ya ujenzi.
 
Rais Samia amepeleka vijana wengi katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), amepanua miundombinu na kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na jeshi kutoka 160,427 mwaka 2020 hadi 190,059 mwaka 2025. Katika kutambua kuwa Jeshi la Kujenga Taifa ni nyenzo muhimu ya kujenga ujasiri, uzalendo na dhana ya kujitegemea miongoni mwa vijana. Vilevile, SUMAJKT imeweza kushiriki kikamilifu kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya uzalishaji na miradi ya ujenzi.
Sijawahi kuona mdada mjinga kama huyu lopolopo
 
Rais Samia amepeleka vijana wengi katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), amepanua miundombinu na kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na jeshi kutoka 160,427 mwaka 2020 hadi 190,059 mwaka 2025.

Katika kutambua kuwa Jeshi la Kujenga Taifa ni nyenzo muhimu ya kujenga ujasiri, uzalendo na dhana ya kujitegemea miongoni mwa vijana. Vilevile, SUMAJKT imeweza kushiriki kikamilifu kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya uzalishaji na miradi ya ujenzi.
Wanzenji pia ni wengi kwa kazi maususi ya utekaji na kuua watanganyika
 
Rais Samia amepeleka vijana wengi katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), amepanua miundombinu na kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na jeshi kutoka 160,427 mwaka 2020 hadi 190,059 mwaka 2025.

Katika kutambua kuwa Jeshi la Kujenga Taifa ni nyenzo muhimu ya kujenga ujasiri, uzalendo na dhana ya kujitegemea miongoni mwa vijana. Vilevile, SUMAJKT imeweza kushiriki kikamilifu kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya uzalishaji na miradi ya ujenzi.
Malofa wanazidi kuongezeka JF.
 
Wakirudi wanaishia kuchoma mahindi na ndimu na pilipili sasa kuna faida gani hapo?
 
Back
Top Bottom