Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Matukio yanayoendelea yanazidi kutudhihirishia nchi yetu imejawa na matapeli na watu waongo. Watanzania wamekuwa wakililia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa miaka mingi, na madai hayo...
2 Reactions
3 Replies
422 Views
Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi...
4 Reactions
6 Replies
587 Views
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo...
45 Reactions
134 Replies
9K Views
Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
1 Reactions
14 Replies
879 Views
Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na...
1 Reactions
12 Replies
781 Views
NI WAKATI WA KUFANYA SIASA ZENYE TIJA, HATUWEZI KUFANYA SIASA ZENYE AJENDA YA KIUPEPO UPEPO. KAMA NI MABADILIKO YATATOKA NDANI YA CCM YENYEWE. Kuna watu furaha yao ni kuwa Wapinzani. Umaarufu wao...
1 Reactions
11 Replies
537 Views
Hata mkutano mkuu urudiwe 7 mara 70 bado mgombea Urais wa JMT kupitia CCM atakuwa Dr Samia Huo ndio ukweli Nakumbuka kwenye mazishi ya Shujaa Magufuli kule Chato Kikwete alisema Yeye ndio...
5 Reactions
24 Replies
989 Views
Bashungwa nakupongeza . Kwa sasa utartibu uliopo Nida umekaa kisomi Sana . Ikiwa MTU jina lake lilikosewa n.k anafata utaratibu ambao ndani ya wiki mbili mpaka tatu majina yanakuwa yamebadilika...
1 Reactions
2 Replies
361 Views
Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
7 Reactions
79 Replies
3K Views
Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM). "Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na...
1 Reactions
10 Replies
643 Views
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego. Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza Majeruhi wa Boda boda aliyevunjika Mguu na kupelekwa hospitali (Jina la hospitali linahifadhiwa) na kuhudumiwa ikiwa ni pamoja na kufungwa POP (HOGO), Amerejea...
49 Reactions
94 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi! Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la...
39 Reactions
217 Replies
13K Views
Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais. Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki...
71 Reactions
126 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…