Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi nawaza hivi taasisi nyeti za serikali kuna watu wameziua kimaksudi kwa kuajiri watu kiundugu au kwa utashi wa kisiasa! Pia napata shaka mamlaka ya vetting hivi kweli nchi hii hatuna watu...
0 Reactions
3 Replies
303 Views
Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala, leo Julai 31, 2025, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema "Niliona Watu walipoona Ridhiwani kapita bila kupingwa wakasema...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
ENOCK KOOLA AUNGWA MKONO ASILIMIA 90 YA WAJUMBE WOTE KATIKA JIMBO LA VUNJO – MWELEKEO WA USHINDI KATIKA KURA ZA MAONI ZA CCM Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Katika mchakato unaoendelea wa kura za...
0 Reactions
7 Replies
725 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka makada waliokatwa katika mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya CCM Taifa kuendelea kuwa wanachama watiifu na raia...
0 Reactions
3 Replies
434 Views
Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunapoelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kuna hoja nzito ya kutafakari kuhusu hali ya elimu kwa mpiga kura, mijadala ya uraia, na nafasi ya taasisi mbalimbali katika kusaidia wananchi...
2 Reactions
21 Replies
651 Views
Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary. Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama...
2 Reactions
3 Replies
353 Views
Wakuu JF amani iwe nanyi. Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana. Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions...
2 Reactions
6 Replies
435 Views
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi) MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA: CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT-...
0 Reactions
4 Replies
393 Views
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania? Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii! Niwatakie jumapili njema.
13 Reactions
99 Replies
15K Views
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye...
15 Reactions
137 Replies
11K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine...
20 Reactions
409 Replies
45K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni." Akizungumza leo Julai 31...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Mstaafu Kikwete amesema hapo Kwala kuna Mzee Kisebengo ambaye ana utaalamu wa kufunga mvua My take; Mzee Kisebengo atunukiwe PhD ya Causa 😄🙏
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…