Wadau watia shaka mwingiliano wa matukio ya kisiasa na burudani nchini
Dar es Salaam, 1 Agosti 2025 – Kuzinduliwa kwa wimbo mpya wa msanii maarufu wa Bongo Fleva, Zuchu, umeibua mjadala...
Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.
Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.
Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango...
Kwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura
Nilitegemea...
Asalaam Alaykum, Bwana Yesu asifiwe, Shalom, Tumsifu Yesu Kristo.
Kutokana na mambo yanayoendelea nchini kwa Sasa Kisiasa na kijamii.
Nami nikiwa mmoja wa raia wa Tanzania wanaotamani kuona...
Hakuna mwanafamilia anayempigia Kampeni Jesca Magufuli lakini ni Matunda ya Uzalendo wa baba yake mzazi
Aliposimama tu ukumbi mzima ukaripuka kwa shangwe “ tuna Imani na binti wa Shujaa “...
Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana ( Jasmine Mumbi ) akipiga Magoti Kuwaomba Kura za Ndio Wajumbe wa MKUTANO Mkuu Maalumu wa UVCCM Taifa .
Waziri Kombo ashiriki Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia, Atoa Wito wa Umoja kwa Maendeleo ya Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa...
Ndugu wana JF,
Haya mambo ya wajumbe CCM naona itakuja kuleta shida huko tuendako. Wajumbe wanataka rushwa na wanaweza kuleta mtu ambaye wanachama hawamtaki.
Pia kumekuwepo na chuki miongoni...
Wakuu,
Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni
Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya Polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania, sasa ameanza kutunga uongo, kufanya uchonganishi wa kidini...
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.
Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.
Hana makazi ya kudumu.
Hajui matatizo ya watu wa Arusha na...
Wasalaam
Poleni wazee mliotia nia hivi karibuni...
Nafikiri mnakumbuka niliwatahadharisha ila uzoefu mmeupata. CCM ina wenyewe. Tukazane kufanya kazi tutunze familia zetu mambo ya uongozi inji...
Msio uelewa ndo mwelewe maana ya movement ya kutaka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania chini ya slogan ya #NoReformsNoElection.
Maana yake ni kuondoa udanganyifu na uchafu kama huu👇👇
Na...
Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu
Kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima na taadhima kubwa, napenda kutoa ombi...
Uwa najiuliza majizi na mafisadi ya nchi hii ambavyo yalikuwa yakimpigia kelele Magufuli lakini sasahivi yapo kimya Nini kimebadilika?
Mafisadi Kama
Msongola &.com nini kimebadilika ?
Magufuli...