Serikali ya raisi Samia ilikuja na R nne ambazo mojawapo ni maridhiano na hadi sasa hakuna maridhiano yalotokea na badala yake ni kuona kuwa wapinzani wa serikali watekwa, kuuawa na kuteswa kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni...
BAADA YA RISASI KUSHINDWA, SASA WANATAKA KUNIVUA UBUNGE!!!!
Nimepata taarifa, kutoka kwa watu wawili tofauti, kwamba kuna mkakati unaandaliwa wa kunivua Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki...
..Habari hii imetoka ktk gazeti la Mwananchi.
..Yustine Ndugai, baba mzazi wa Job Ndugai, alikwenda Geita kuchimba dhahabu mwaka 1986.
..alikaa huko mpaka mwaka 1992 ambapo alipatwa na maradhi...
Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili...
Tumeambiwa kuwa marehemu Ndugai alizuia pesa ya matibabu kwa Lisu, na kisha kumsimamisha ubunge kwa madai kuwa ni mtoro, huku Dunia nzima ikijua kuwa Lisu yu mgonjwa, tena mgonjwa majeruhi...
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini.
1...
Hatimaye Humphrey Polepole ala kiapo cha Ukuu wa Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara baada ya mjadala mrefu kuhusu uteuzi wake kama ulivyofanywa na Rais Magufuli tarehe 18 Aprili 2016.
Baada ya kiapo...
Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.
Kaeleza kuwa Chalamila...
Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba...
Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi...
Siku za hivi karibuni Ndugu Humphrey Polepole amejinasibu kuwa alikuwa na ukaribu sana na ndugu Ndugai na kwamba kuna nyakati walikuwa wanaitana wanashauriana mambo ya sirini.
Na hata Ndugai...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika...
Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay...
Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi...
Huyu jamaa ni waziri wa wizara nyeti ya fedha ila anafanya mambo ambayo hayaeleweki kabisa kwenye hizi mbio za kwenda ikulu mwaka 2030.
Mara aage jimboni kuwa hatagombea tena mwaka 2030 bali...
Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na...
Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !!
Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao).
Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO...