Rais Samia ametumia TZS6.6Trilioni kukamilisha ujenzi wa Bwawa la Mwl Nyerere na kuifanya Tanzania kuwa na uzalishaji wa MW4,032 sawa na ziada au umeme usio na kazi MW740.
Bwawa la umeme la...
Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza...
Nyakati zinakimbia sana!
Miaka 10 iliyopita wakati wa kampeni za kumuweka madarakani John Pombe Magufuli, hayati Benjamin Mkapa alitupa tusi lenye kejeli ndani yake la kutuita malofa.
Sijui nini...
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya...
Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana.
Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka...
Polepole amemtaka Mnadhimu mkuu wa CCM Mzee Wassira kuyadhibiti Makundi ndani ya UVCCM kabla hayajaleta madhara makubwa zaidi
Swali langu: Makundi ni Udhaifu au ni Afya kwa Demokrasia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza, Mhe. Rais...
Lengo na matamanio ya Jumanne Kaseja ni kuhakikisha Mwanae kipenzi anakuwa kocha mkuu mwaka 2030.
Kwahiyo kelele sio kwamba hazisikii anazisikia vizuri Ila lazima maono yake yatimie.
Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe...
Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa...
Nakumbuka msiba wa baba wa Taifa ndiyo ulikuwa msiba wa kwanza kuleta huzuni kwa Taifa la Tanzania,msiba wa pili ni wa Rais wetu kipendwa Magufuri,naamini pazia la huzuni ya kweli lilifungwa kwa...
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama.
Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani...
Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge .
Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa...
Naanzia hapa na kila ukiweka update tutaipandisha hapa kwa faida ya wengi na kwa faida ya RAIS wetu mpendwa
1. Mwenyekiti amezungukwa na wana mtandao ambao wana maslahi binafsi
2. Mwenyekiti...
Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha...
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa...