Kuna taarifa kuwa CHADEMA inatarajia kufanya Maandamano Makubwa ya kuwapokea Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni siku ya J2 jijini na Dar es Salaam na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara katika...
Hii mada nimeamua kuileta maksudi baada ya kuona refa wa bunge la Tanzania ndugu anna makinda na msaidizi wake job ndugai (majina mengine ya ajabu kweli kweli eti makinda/ndugai), kupokea...
Chama cha NCCR-mageuzi kimeahidi kumshauri mwenyekiti wa Taifa, James Mbatia, kufanya ziara nchi nzima ili kuwaeleza wananchi udhaifu uliopo katika mitaala ya elimu hapa nchini pamoja na mfumo...
Ni ndefu lakini ni muhimu
In 2006, an evaluation of Norwegian aid to Tanzania revealed that about US$30 million had been lost to corruption and mismanagement in the Ministry of Natural Resources...
Siamini kama Tanzania ni maskini Hivi!
Ninaamini kuna uzembe kidogo sehemu fulani has katika kudhibiti Ufisadi ndio tumefikia hapa.
Lazima kuna tatizo sehemu fulani katika utawala.
Siwezi...
Kama kila linalosemwa na Wabunge wa CCM ni jema na linapita wakati linalosemwa na Wabunge wa vyama vya upinzani linapingwa na kutupiliwa mbali,Bunge halina maana.
Kama Wabunge wa chama tawala...
Wakuu,
Wapinzani wamepata kibali na kuhakikishiwa Ulinzi kwenye maandamano yao ya Amani yanayotarajiwa kufanyika muda si mrefu.
Ruti imebadilishwa na sasa baada ya mapokezi ya Wabunge maeneo ya...
Ndiyo Wadau, Heshima kwenu !
Katika kutimiza na kutekeleza kauli mbiu ya mwaka huu maarafu kwa MWAKA WA NGUVU YA UMMA , leo M4C -Mwanza chini ya Kamanda Mawazo itazindua kampeini za uchaguzi...
Wandugu nawaomba viongozi na wanachama wote wa CHADEMA kuachana na suala la maandamano ya DSM nawashauri watii mamlaka zilizopo hata biblia inatuagiza.
Tutaumiza wanachama wetu bure chonde...
Mbunge wa Ludewa Deo Fulikunjombe-CCM ameeleza kushtushwa na kusikitishwa na uamuzi wa kamati ya maadili haki na madaraka ya bunge kuwataja bungeni wabunge wanne wa Chadema kwamba ni vinara wa...
Pamoja na Waziri Mkuu kuamuru kuwa wale wote waliokamatwa kwa uchochezi wa matukio ya vurugu Mtwara waachiwe hali ni kinyume kabisa kwani kila siku watu wanakamatwa hovyo. Kwa sasa watu...
Najua yapo mambo mengi ya kuandamana kwa sasa. Hata hivyo mi nadhani hili la bunge kuendeshwa ki-hovyo hovyo na Spika Makinda ni kubwa na jambo la hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu...
Wasalaam wa jf?
Ni nani hasa mwenye haki na nchi hii? sisi raia ama serikali? nauliza hilo swali kulingana na matukio yanayotokea kila kukicha hapa nchini mwetu hususani hili swala...
Lengo likiwa ni kuuambia umma kuhusu ukandamizaji wa wapinzani, na upendeleo wa CCM, na namna unavyoathiri haki za Watanzania kuwakilishwa na kutetewa. Unadhani ungependa kuona maneno gani kwenye...
Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi wa Temeke limepiga maarufuku maandamna ya wapinzani yaliyopangwa kufanyika leo mkoani Dar-es-salaam yenye lengo la kuwapokea wabunge wa upinzani wanaotokea Dodoma...
Ni wakati wa uchumi huria na global village etc... Tuwakubali wenzetu hawa waChina kutufundisha namna ya kuuza maua, karanga ... na umachinga mwingine... we have something to learn, do not take...
Kamati ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje, iliyokua inaongozwa na Edward Lowassa imevunjwa na kuundwa kamati mbili ya Ulinzi na Usalama na ingine ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati...
Ndg wanabodi;
Kwa takribani wiki mbili hivi Bunge letu lilikuwa linaendelea na vikao vyake. Macho na masikio ya watanzania yalikuwa mjini Dodoma wakitaka kusikia wawakilishi wao (wabunge) wanasema...
Wanabodi,
kwa upande wangu ningeshauri kesho kwenye hayo maandamano yanayosemekana kuwa ya wapinzani wote waliokubali mwaliko kutoka chadema basi ningeshauri zibebwe bendera za taifa lakini nguo...