Maandamano ya kumlaani Spika Makinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya kumlaani Spika Makinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Apr 18, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Najua yapo mambo mengi ya kuandamana kwa sasa. Hata hivyo mi nadhani hili la bunge kuendeshwa ki-hovyo hovyo na Spika Makinda ni kubwa na jambo la hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu. Nawashauri CHADEMA, na wote wanaokerwa na mama huyu, wafanye maandamano nchi nzima au sehemu kadhaa za nchi, kulaani uendeshaji mbovu wa bunge unaofanywa na spika. Ingawa najua haitafanya aondolewe madrakani, naamini itamoa msg, na itamfanya ajue kuwa anachokifanya bungeni kinawaudhi wengi. Mi nadhani kwa sasa anadhani kuwa hajashtukiwa kuwa anaendesha bunge visivyo, so akiona maelfu wameandamana kumlaani, atapata funzo fulani/

  ------------------------------------------------------------------------------------
  ------------------------------------------------------------------------------------

  UPDATE

  Nimefuatilia kwa karibu jinsi mama huyu anavyoendesha kikao cha bajeti, na ukisoma taarifa ya jinsi anavyomkingia kifua Pinda, naona bado haya maandamano hayaepukiki.
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Hata wewe waweza anzisha hayo maandamano, tutakua nyuma yako.
   
 3. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Makinda ukiona adui yako ana lalamika basi ongeza zaidi kasi ya jambo hilo unalofanya! Mama Makinda endelea hivyo hivyo na msimamo wako huo!
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  No coment!!
   
 5. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu mama ni balaa, yuko pale kwa mslai ya mafisadi papa!
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  saivi mtaanzisha kila kitu kuona nyuma yake kuna wajinga wangapi!
  Mi sio moja wao
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Taja madhambi yake kwanza ndio tuone kuna umuhimu wa kuandamana ama la. Pengine inawezekana kumwandikia barua tu na akaelewa kuliko maandamano
   
 8. w

  warea JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mie simo kwa ajili ya kuwalaani watu.
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Anakula na kujaza vyoo tu,hana anachotusaidia 80% maskini wa taifa hili
   
 10. Catagena

  Catagena Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninaunga mkono hoja.
  Nafikiri nchi hii inahitaji maombi. Sehemu nyeti kama bunge mnamuweka mama anayechemka hivyo...asiyejiamini na kibaraka wa chama ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa hili sio tu linaendelea, lakini kwa mtazamo wangu mimi limekoma kuendelea kwa muda mrefu.

  Tutaendelea kuwa Highly indebted poor country kwa sababu uendeshaji wa mambo ya muhimu yanatawaliwa na miongozo ya maveterani wa chama ambao kwa ktumia science ndogo, uwezo wao wa kufikiria umeshakoma...wangepaswa kubaki nyumbani walee wajukuu.
   
 11. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe mwache BINTI KINDA aivunje CCM kwa mikono yake mwenyewe
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wabunge wenyewe ndo waandamame sisi tutawapima wao hatukumchagua makinda tuliwachagua wabunge!
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hao wabunge ndo watetezi wake, walimchagua wao na ndo mana wanalindana. Ikipigwa kura wanaomkataa watazidiwa na wanaomkubali. Sina hakika kama kuna mbunge hata mmoja wa CCM akiambiwa aandamane kumwondoa/kumpinga spika atafanya hivyo.
   
 14. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja 7x70......atakayepinga basi ajipinge yeye na mtazamo wake kabla ya kuupinga wangu..naunga hoja kwa maslahi ya taifa na wala mimi sio mwanasiasa.....   
 15. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  soma hiyo habari utaelewa kwanini haya yanatokea

  Menopause is a stage in life when a woman stops having her monthly period. It is a normal part of aging and marks the end of a woman's reproductive years. Menopause typically occurs in a woman's late 40s to early 50s.
  What are the symptoms of menopause?

  Early symptoms of menopause among others include
  • Emotional changes (irritability, mood swings, mild depression) :angry::frown:
  • Sleeplessness
   
 16. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama ulihusika kumtuma awe spika! Kwakuwa hasimamii sheria za bunge ila za waliomtuma
   
 17. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Huwa naandamana peke yangu kumlaani huyu mama kila siku.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  anzisha maandamano ila usitumie mgongo wa chadema
   
 19. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  haina haja ya kuandamana inaonekana mama bado hajaiva vizuri tumpe muda hadi bunge lijalo atakuwa amepata experience zaidi
   
 20. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu mama atakuja kuwa ni Kigingi cha sisiem maana waliomuweka hapo (mafisadi) wameanza kupambana na sisiem......cdm tuvute subira
   
Loading...