Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

The GSM Foundation in Tanzania is a non-profit organization focused on improving the health and education sectors in Tanzania. It actively works to create, find, and support programs that address...
0 Reactions
5 Replies
598 Views
GT Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
1 Reactions
6 Replies
706 Views
Leo tarehe 15 Agosti 2025 saa 2:30 usiku, Dkt. Josephat Mathias Gwajima, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), atatoa ushauri wake kwa Taifa la Tanzania pamoja na viongozi wake...
24 Reactions
69 Replies
5K Views
Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu, kuna uwezekano mkubwa mkaingia mikono ya Raia wenye hasira kali
1 Reactions
0 Replies
260 Views
Wote twajua yaliomkuta Tundu Lissu kwenye utawala wa Magufuli, mpaka akakimbua nchi, lakini Gwajima anaamua kuudanganya umma. Gwajima Aliwahi kusema CCM ya Magufuli sio ya utekaji kitu ambacho...
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Askofu Gwajima: Hebu CCM tumieni vichwa vyenu kufikiri na kuamua vizuri. Madai ya CHADEMA yana msingi hata kama una kiwango cha chini kabisa cha elimu kuyapima na kuyaelewa.. Askofu Gwajima: Hebu...
4 Reactions
0 Replies
395 Views
Sala na Kazi Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji. Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Askofu Gwajima: Chawa silaha yao ni kujipendekeza, mwenye uwezo anabebwa na uwezo wake Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Exclusive: Bona Mugabe Raped by Tanzanian Students By The African Aristocrat on July 30, 2010 Scandal exposes MDC spin behind why Maridadi was almost fired In a shocking exclusive, The...
0 Reactions
64 Replies
17K Views
Askofu Gwajima amehoji: "Je kuna namna ya kutawala bila kupigiwa kura na watu?, Je, kuna naman aya kuignore hizi hoja zote? Tunategemea nini?, haileti picha nzuri wala afya kwa nchi na chama kwa...
0 Reactions
4 Replies
836 Views
KABLA YA 1992 TANZANIA TULIKUWA NA MFUMO WA VYAMA VINGI. Na Elius Ndabila 0768239284 Ipo dhana inayojengeka kuwa mfumo wa vyama vingi nchini ulianza mwaka 1992 baada ya Tume ya Nyalali. Binafsi...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
"Serikali kutumia mamlaka ya DPP kifungu namba 91 sheria ya mwenendo wa wa makosa ya jinai iangalie namba ya kumuachilia Lissu kwaajili ya kustablaizi nchi na wananchi, na usifikiri Lissu...
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication...
3 Reactions
4 Replies
839 Views
Kama kuna mtu alifikiri uchaguzi wa Rais utakuwa mteremko kwa CCM sababu tu Chadema wamezuiwa kushiriki basi amekosea, Chama cha Mapinduzi kinaenda kupata wakati mgumu kuliko kilivyofikiria,Watu...
0 Reactions
6 Replies
426 Views
Askofu Gwajima: Ushindi wa CCM ni wa muhimu sana, lakini ustawi wa Tanzania na maslai ya wananchi wote ni la muhimu sana kuliko vyote
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Kama huyu jamaa kaamua kwenda Kongwa basi naamini kuwa we are done . == Mwananchi wameeleza kuwa baadhi ya majina ya wanachama 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi...
7 Reactions
88 Replies
5K Views
Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
1 Reactions
16 Replies
688 Views
Wanajamvi poleni na hongereni kwa majukumu. Niende moja kwa moja kwenye mada; Mikoa ya pembezoni mwa nchi kama Kigoma na Katavi ina raslimali za kutosha kama madini, mbuga za wanyama, bandari...
0 Reactions
11 Replies
466 Views
Kichwa cha Habari ni kirefu sana naamini kinatosha kuwa ndio Habari yenyewe Ni angalizo tu kwa sababu upande wa Tanganyika huyo Luhaga ni mkubwa kuliko ACT Wazalendo Mlale unono 😄🙏
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Aliyekuwa Mtiania wa ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu. Godfrey Sukali, akitolea ufafanuzi taarifa zilizoenea jimboni Meatu zikidai ametoweka na watu kuanza kuhisi kama ametekwa. Ni kweli kwa...
0 Reactions
4 Replies
425 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…