Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka.
Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike.
Mimi Kama...
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.
Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza...
Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ?
Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi?
Mabilioni...
Salaam!
Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona
1. Uongozi,
2. Maono.
3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti.
4.Weledi wa Hali ya juu.
5. Uthubutu.
6. Uzalendo...
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo...
Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo.
Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani.
Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake...
Hakika wapiga filimbi na mapambio waliokuwa WANASEMA nani awezaye kufanya vita na kumshinda??,hawataamini siku hiyo mwanaume dhaifu mpole na asiye na jina miongoni atakayeibuka Kama upepo wa...
Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza...
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma...
Matajiri waliokuwa na pesa za uhalali hukuwahi wasikia wakimlaumu huyu Mzee...Waliokuwa wanasema Mzee Magu hapatani na matajiri walikuwa hawamalizii ni matajiri wa aina gani. Magu ukimsifia saana...
Nchi yetu maskini imeharibiwa na madeni.
Sasa hivi kila tutakachovumbua hakitotunufaisha kwasababu tayar vimewekwa kama bond au dhamana ya deni letu
Angalia Kenya na Ghana waliharibu nchi zao...
Browse: Home / Latest, News / Exclusive: Bona Mugabe Raped by Tanzanian StudentsExclusive: Bona Mugabe Raped by Tanzanian Students
by The African Aristocrat
In a shocking exclusive, The African...
"Mrisho Jakaya Kikwete wewe unasehemu kubwa kuifanya nchi iende vizuri au vibaya, wewe ndiye Rais mstaafu ulibaki uliokuwa madarakani uliye hai kila unachokifanya kinatafasiri mwelekeo wa nchi...
The GSM Foundation in Tanzania is a non-profit organization focused on improving the health and education sectors in Tanzania. It actively works to create, find, and support programs that address...
Leo tarehe 15 Agosti 2025 saa 2:30 usiku, Dkt. Josephat Mathias Gwajima, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), atatoa ushauri wake kwa Taifa la Tanzania pamoja na viongozi wake...
Wote twajua yaliomkuta Tundu Lissu kwenye utawala wa Magufuli, mpaka akakimbua nchi, lakini Gwajima anaamua kuudanganya umma.
Gwajima Aliwahi kusema CCM ya Magufuli sio ya utekaji kitu ambacho...