Siku mtoto wa Rostam alipombaka binti wa Robert Mugabe-Soma mwenyewe uamue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku mtoto wa Rostam alipombaka binti wa Robert Mugabe-Soma mwenyewe uamue

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Mar 28, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Browse: Home / Latest, News / Exclusive: Bona Mugabe Raped by Tanzanian Students[h=1]Exclusive: Bona Mugabe Raped by Tanzanian Students
  by The African Aristocrat[/h]
  [h=2][/h][​IMG]In a shocking exclusive, The African Aristocrat can reveal that Bona Mugabe has filed sexual assault charges against two Tanzanian students studying in Singapore.
  Tracy Guvamombe, who is actually Bona Mugabe using an assumed name, alleges that she was the victim of drink spiking and rape at a student party held in the upmarket Faber Park neighbourhood. The accused argue they had consensual sex.
  One of the accused has been identified as Patrick Azziz, the 27 year old son of Tanzanian business tycoon Rostam Aziz. Patrick, together with an unidentified co-accused, allegedly invited Bona Mugabe (known to them as Tracy Guvamombe) to the lavish party and plied her with spiked wines. They went on to have sex with her in one of the bedrooms.
  The pairs luck ran out when Bona suddenly woke up only to find one of the suspects grovelling on top of her. She is said to have screamed alerting other guests who rushed in to her aide. The suspects fled but were later apprehended by the local police.
  Bona Mugabe unwittingly reported the matter under her assumed name but her attempt to avoid being recognised is exactly what led to the story breaking. Rupali Karekar, who writes for Straits Times, received a tip off from a fellow student who has since identified ‘Tracy’ as being the daughter of Zimbabwean president, Robert Mugabe.
  [​IMG]Business tycoon, Rostam Azziz

  Rupali Karekar approached the police seeking details about the case. The police not knowing that Tracy Guvamombe was an assumed identify released the details of the case. Only during investigations did Bona’s true identity come to light. Singapore police immediately applied for an injunction barring the Straits Times from publishing the story but this was not before the journalist leaked the story to the Zimbababwean opposition, MDC.
  The leak was directed by email via the Prime Ministers website, zimbabweprimeminister.org. James Maridadi, the PM’s spokesman, was first to read the potentially damaging email. After reading the email he is said to have contacted Nelson Chamisa, a move that angered Tsvangirai who expected to be briefed first. When Tsvangirai heard the news from Chamisa he directed that the email be immediately destroyed for fear that it could further strain the troubled GNU.
  During routine email maintence officials in the PM office discovered that Maridadi did not immediately delete the email but first forwarded it to close friends. Logs on Maridadi’s emails showed evidence that he had forwarded the emails. A livid Tsvangirai, already upset that Chamisa had been briefed before him immediately fired Maridadi.
  Recent reports in the press that Maridadi was being fired over a series of gaffes was clever political spin on the part of the MDC to get the media of the actual scent. MDC insiders are said to have pressed the PM to reconsider his decision on Maridadi since any such move would only give credibility to the leak if the news ended up being published.
  The Aristocrats source inside the Presidents office expressed ignorance of the Bona rape claim but admitted that this, given the sensitive nature, might have been deliberately kept from their view. He however confirmed that one of the presidential secretaries had been tasked with finding a suitable university in Malaysia and negotiating a course credit transfer. Grace Mugabe later reversed the decision arguing that there was no need for Bona to transfer since she was nearing the end of her course. The Mugabe’s are said to have simply said the consideration to move her was based on concerns that her assumed identity had been broken.
  The Aristocrat hopes that the MDC stands by it’s commitment to transparency and tells the Zimbabwean generality exactly what happened with James Maridadi.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Tycoon bizness son daaa aibu kweli
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hii habari kuu kuu sana, ilivuma miaka ile.

  Ila inatusaidia kwenye siasa zetu kwa maendeleo yetu?
   
 4. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Patrick Azziz?? au na lenyewe ni jina bandia
   
 5. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Haya mambo ya watoto wa vigogo wanaosoma Singapole na India mbona yako wazi tu,wawaulize watu kama wakina Wema Sepetu wanajua maisha ya huko yalivyo.Huyu binti nae simpendi kama nini story hiii ilisemwa miaka kibao kama nini, basi baba yake ni kidume kwanini wasideal nao waliomrape?.

  Binti yule anajua uwezi ukaka eti House Party full vidume na masister du wenyewe wanasema wa ukweli,full kila aina ya vilevi si Jack Daniel, Whisky, Brand John Walker, Martin na Punch uku wakichanganya na cigarette zikiwemo marijuana za kufa mtu kisha kinachofuata vibinti viko kwenye min full swaga za heavy music sound hivi moment hiyo hapo unategemea nini kitafuata kwa kidume cha mbegu ambacho kinajua mkwanja na maswala mengine ya kitu kinaitwa pesa sio tatizo.Tena nyumba zenyewe ni zile zenye vyumba kama kumi hivi tena masters.

  Mabinti wenzie waliesoma huko mbona wao hawasemi au kwa kuwa yeye mtoto wa Rais,kama anaweza wajaribu yeye na baba yake music huo tena wale jamaa walivyo na hamu na mzee wake watamsaidia.Vingine starehe zao wasitake huruma ya umma wakati watoto wao hayo ndio maisha yao uko ughaibuni,wangesoma makwao kwenye kayumba za nyumbani kwao haya yasingewatokea.

  Namkumbuka binti mmoja kwa jina Washington alipiga full party na kidume cha nguvu Michael Tyson kisha mida mida wako room mzee Tyson keshapagawa na vicheko vya uchombezi wa kike na vinywaji vya watu wawili home kisha mzuka wa kidume unakatishwa na story za kuwa tunywe tucheke lakini na si zaidi ya hapo.Hata kibongo bongo uliona wapi uingie mjengoni na mchumba kisha hakupindishie story uko room alifuata nini?

  Ilibidi Mic Tyson ale miaka baada ya kuwa hakuelewa somo la binti kuwa kulala na Tyson ilitaka hiari ya binti na sio mazingira yaliyojitokeza yahalalishe kitendo hicho.Mungu saidia alipatikana mwanasheria aliyejenga hoja ya msingi iliyopelekea rufaa ya Tyson kufanikiwa kuwa Washington alitengeneza mazingira ambayo kwa mwanaume lijali kama Tyson alifikishwa point of no return.Yani kwa lugha ya kitaaalamu alifikishwa sehemu simba hana jinsi nyasi ni lazima zilike ili kuokoa uhai wake sababu ya njaa.
   
 6. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Dawa za wapenda vya burebure kama baadhi ya dada zetu ili wapate vyeo nafasi. There is nothing given for free mnaishia kupewa miukimwi. nanyinyi sengereti boys nanyi mkome.
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huu uzi wa siku nyingi sana mkuu. Nakumbuka Rost Tamu alikanusha kuwa huyo dogo si mtoto wake.
   
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du thread ya zamani lakini ni vizuri kujikumbusha picha zake zipo ila mtoto wa mugabe alijilengesha akitafuta ujiko jamaa alipomshit akatangaza
   
Loading...