Huku FUKO LA KADI ZA CCM likiwa mbele ya VIONGOZI wa CCM wananchi wa LOLIONDO wamekitisha CHAMA cha Mapindizi hadi kutengua maamuzi ya Serikali na waziri wa Mali asili na Utalii.... Mbinu hii...
Nina mashaka sana kama kuchinja peke yake ni kisababishi cha kuyumba kwa mahusiano ya wakristo na waislamu ingawa naafiki wazo la wanaotaka waislamu wachinje ili kujenga umoja wa kitaifa...
Mawasiliano ni kwa WOTE ni nyenzo ya kuunganisha watu katika kizazi hiki cha Habari (Information Age) LAKINI ili mawasiliano haya yawe kwa WOTE lazima kuwepo na njia za kuwaunganisha. Teknolojia...
Kumekuwa na mtindo mpya wa watu, hususan vijana, kujionyesha kuwa ni radicals na wakereketwa wa vyama, hasahasa vya upinzani, lakini lengo lao kubwa siwezi kusema ni cheap popularity, ila ni lengo...
Friday, April 5, 20DADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni...
Millions of internal records have leaked from Britain's offshore financial industry, exposing for the first time the identities of thousands of holders of anonymous wealth from around the world...
Nimejaribu kufuatilia wimbi la kisiasa na jinsi vijana wanojiita wanamageuzi kujifanya wanarudisha kadi na kujiunga na chama tawala siku hadi siku. Nimejaribu kutafakari mambo mawili.
1...
Baada ya kutafakari kwa miaka mingi juu ya mstakabali wa siasa ya nchi yangu tanzania na kufanya upembuzi yakinifu sasa nimeamua rasmi kuingia kwenye siasa ili kuinusuru nchi kutoka katika lindi...
na Chalila Kibuda
SERIKALI inatarajia kujenga reli za Kimara, Goba na Mbagala kwa mwaka wa fedha 2014/2015 ili kuwasaidia wananchi wa maeneo hayo kuondokana na adha ya usafiri.
Waziri wa...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema ipo haja ya kuangalia upya sheria ya vyama vya siasa nchini kama ina meno ya kutosha kudhibiti vyama vinavyojigeuza...
Habari nilizozipata toka Loliondo alikoenda Mwingulu Nchemba Kusuluhisha mgogoro wa ardhi umefikia pabaya baada ya kurudishiwa kadi za CCM baada ya wananchi hao kukataa kukubaliana nae katika...
Tunatambua kuwa jamii ni kioo chetu, hivyo tunaomba mtuambie matatizo ya chama chetu CCM hususani kipindi hiki cha utawala wa Raisi JK. Tunaamini kwa kujitambua ni mwanzo wa kufanya vizuri sana...
Mwenyekiti wa Jimbo Chadema Kasulu vijijini, Mwenyekiti wa kijiji cha Kwaga Chadema na kiongozi mwingine mwandamizi wanashikiliwa na polisi kituo cha kati mjini Kasulu kwa tuhuma za mauaji. Tuhuma...
hapa nimishndwa kuelewa,wananchi wameonyesha kuchoshwa na siasa za ccm ambazo hazitatui matatizo yao kwa kurudisha kadi lakini wamegomea kuzipokea na kuendelea kuwahadaa wananchi
M4C inahitajika...
BAADA ya hila na mbinu haramu kadhaa kuzuia uchaguzi huru na haki, kuminya demokrasia ya sanduku la kura kuchukua mkondo wake, ikiwemo Mtendaji wa Kijiji cha Kwekitui kuharibu uchaguzi kwa...
Katika hali isiyoeleweka, Mkurugenzi wa Habari na Maelezo Ndg. Asah Mwambene alijikuta akitoboa siri hadharani, either kwa makusudi au bila kukusudia aliposema Mh. Zitto alimtahadharisha asiwe na...
Mheshiwa tunashmdwa kukuelewa una agenda gani na pori la ngorongoro hadi upige meza kwamba wananchi wa ngorongoro wataondoka tu.Je muwekezaji ni wa maana sana kushnda wananchi wanaoishi pale,je...
CCM inatengeneza katiba mpya, Tanganyika bila ya kuwa mwanachama wa UN Zanzibar bila ya kuwa mwanachama wa UN,migigoro na kero za muungano hazito maliza hadi kuvunjika kwa muungano CCM mkizingatia...