CCM inatengeneza katiba mpya, Tanganyika bila ya kuwa mwanachama wa UN Zanzibar bila ya kuwa mwanachama wa UN,migigoro na kero za muungano hazito maliza hadi kuvunjika kwa muungano CCM mkizingatia akili ya Nyerere na Karume.
Huu si wakati wa warioba zifanye nchi mbili hizi huru hapo ndio muungano wa kweli utadumu na muwe na akili ya kwamba isiwe tanganyika na zanzibar kuungana hata bara la Afrika lifikirie kuingia ndani ya muungano mpya.
Maneno ya CCM Zanziba na bara kuna hisia ya kuwa katiba hii inatungwa na watu wa CCM alijuwaje vuai kama zanzibar itajiunga na OIC na wanachama nchi za visiwa na kwa nini isiwe un warioba na CCM hapa wana lao jambo ila kero matatizo hayata isha.