Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk
5 Reactions
43 Replies
733 Views
Wanabodi, Declaration of Interest Mimi sio tuu ni Mtanzania mzalendo, bali pia ni mjamaa na muumini wa dhati wa falsafa ya Mwalimu Nyerere, ya Ujamaa na kujitegemea, pia Mkristu Mkatoliki...
5 Reactions
22 Replies
376 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Ninafurahi Sana tena sana ninapomuona Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Moja kwa moja Ama live katika Shughuli mbambali na majukumu...
2 Reactions
146 Replies
2K Views
Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi. Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na...
5 Reactions
39 Replies
976 Views
Nimemuona akitoka maadhimisho ya walenga shabaha wa mipakani. Ukimuangalia unaona kabisa mwili umetikisika, kupungua kama si kupungua. Labda mtu akiwa kwenye diet anakuwa vile. Sasa ninyi...
19 Reactions
69 Replies
2K Views
Tanzania kwa sasa inaviashiria vyote vya kuelekea kwenye failed state na vita ya wenyewe kwa wenyewe, anayezuia nchi hii isiingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ni Tundu Lissu kwa sababu...
7 Reactions
19 Replies
323 Views
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane kupata Katiba Mpya imeibua tafsiri mbili...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika...
1 Reactions
26 Replies
300 Views
Jiwe gizani wenye akili wameelewa. CCM inaenda kupata ajali?
13 Reactions
43 Replies
1K Views
Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi...
4 Reactions
8 Replies
319 Views
Michango ya tonetone ambayo kwa sasa inakaribia kufika mil 350 ni ushahidi kuwa Watanzania hawaitaki tena CCM. Watanzania tupambane kupata katiba mpya kama alivyotushauri Judas of CCM Hapo ndipo...
7 Reactions
27 Replies
474 Views
Hamjambo wote! Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile...
12 Reactions
209 Replies
2K Views
Kama kosa lake kubwa ni kufanya uchochezi kupitia hiyo module aliyokuwa anafundisha nadhani tutumie busara kuifutilia mbali ili kuepusha wahadhiri wengine kuingia mtegoni na kujikuta wanafanya...
2 Reactions
7 Replies
186 Views
https://youtu.be/tN1-smB7nOo?si=j1dEU9tUQi1fNu2N Anasema: 1. Ameamua kutoka huko ili kuungana na wapigania haki wengine kuipigania haki, demokrasia na utawala bora Tanzania 2. Haoni chama...
7 Reactions
17 Replies
331 Views
Leo ndio nimesikiliza vizuri Namba 2 alipoongelea katiba mpya huku akisisitiza watu wapambane. Kama aliyoyaongea yana ukweli, basi kuna watu wamemdhibiti Namba 1 ingawa nae anaonyesha udhaifu...
11 Reactions
22 Replies
542 Views
Siku ile aliyotoa hotuba Dr. Nchimbi kwamba Watanzania wapiganie Katiba mpya, sikumwelewa vizuri, lakini kwa sasa nadhani nimemwelewa kwa kwa asilimia kubwa. Mambo makuu matatu aliyoyasema ambayo...
3 Reactions
6 Replies
257 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, ikiwa ni mada mwendelezo wa Kufuatia Kuteuliwa kwa Hisani, Baadhi Wanashindwa Kutenda Haki Kuepuka Utovu wa Fadhila...
12 Reactions
46 Replies
810 Views
Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?. Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu . Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama...
10 Reactions
23 Replies
541 Views
Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao...
1 Reactions
13 Replies
197 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…