Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

THEN Mr. Rajoelina became the mayor of Antananarivo in December 2007, besting the candidate from the president's party. Eventually, he projected himself as the people's champion against Mr...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndg. Mimi nandani lugha ya huu ni huu upande wa Upinzani na huu ni wa tawala zina kwa kiasi fulani vina-provoke ushindani na mijadala ya win-loose ambayo haina maana kwa taifa. Mfano. Sisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu watanzania wenzangu tukae chini na kutafakari tishio la chama kimoja kati ya vyama 20 nchini mwetu. Hiki chama kinajifanya ni chaguo la wananchi nchini Tanzania, wakati uhalisia chama hiki...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Serikali kupitia wizara ya ulinzi na JKT imesema kuanzia sasa utaratibu wa majeshi kuajiri raia na kuwapeleka kwenye mafunzo utasitishwa na utaanza utaratibu mpya wa kuajiri kutoka JKT. Uamuzi huo...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi ni dereva wa mgari makubwa (roli). Kwa takriban miaka kumi na saba sasa. Kutokana na kazi hii huwa napita njia zote za Tanzania hii. Na mara nyingi naingia nchi za jirani pia. Mabadiliko ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kipondi ndio kinaanza tufatilue kama wachangiaji watakuwa na hili la tembo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi na uwezo alionipa wakushirikiana nawenzangu Watanzania katika kuitazama elimu yetu kama taifa. Tonny Bleair aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Walimu 13 wa shule za msingi wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wanadaiwa kughushi sahihi ya Mkurugenzi wa Elimu ya Msingi Tanzania, wakionyeshwa wameamishiwa wilayani humo. Mkurugenzi Mtendaji wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wizara ya katiba na sheria imetenga kiasi cha sillingi millioni 18 kwa ajili ya kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakaopata ukimwi. Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni...
1 Reactions
92 Replies
7K Views
Wana CHADEMA wa kusini tuishio Dar tukutane makao makuu Kinondoni kila j'mosi 9:00 pm kukamilisha taratibu za ukombozi.
0 Reactions
0 Replies
962 Views
SERIKALI imesema ina mpango wa kuanzisha usafiri wa reli kutoka Pugu hadi Stesheni na kutoka mjini hadi Pugu, ili kupunguza msongamano barabarani na kuwaondolea adha wananchi wanaotumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona sasa ni wakati muafaka watanzania wenzangu kuangalia mchango wa siasa katika nchi na Afrika kwa ujumla. Nataka kujua uwepo wa vyama na siasa kwa ujumla unamsaidia nini mtanzania wa kawaida...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Najipanga kwenda kujiunga na jukwaa la katiba katika kata yangu lakini sijajua vizuri kabla ya majadiliano itakuwaje. -Je tutapewa hiyo rasimu kwanza tusome au nini kukusanya mawazo mapya kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwa ni kawaida kabisa ama kwa Lukuvu, Spika wa bunge au naibu wake au wabunge wa CCM kuomba mwongozo na spika kutaka ushahidi ndani ya siku anazopenda, safari hii imekuwa tofauti. Mchungaji...
13 Reactions
129 Replies
10K Views
Hakuna sababu yoyote ya maana ya kuelezea ni vipi Wassira msaliti wa upinzani na mchumia tumbo kuwa central figure katika CCM, zaidi ya udhai na ubovu mkubwa mfumo wa CCM na njia za kupata...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Kwa mara ya kwanza leo nashuhudia Serikali ya CCM kupitia Waziri wa mambo ya nje Mh.Bernard Membe ikukubaliana na hoja zote za upinzani katika kujadili Bajeti ya wizara ya ulinzi na jeshi la...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu Wanajamvi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo[CHADEMA] Kata ya Nzega Mjini kitakuwa na Mkutano Mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Parking Nzega leo tarehe 04/05/2013 kuanzia saa tisa...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Matokeo kidato cha nne yafutwa • Serikali yaagiza yaandaliwe upya kwa mfumo wa 2011 na Martin Malera , Dodoma Tanzania Daima SERIKALI imefuta matokeo ya kidato cha nne ya...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
WATAKUFA, WATAZALIWA WENGINE, WALIKUFA TUMEZALIWA WENGINE: Nini kufa? Kuteswa na kung'olewa meno? Kwangu mimi kufa si kitu cha kunifanya niache kusema ukweli ninaouamini na kuusimamia, watu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TANZANIA CHRISTIAN FORUM (TCF) MKUTANO MKUU WA NNE WA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA (TCF) TAMKO RASMI “ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI, NA DUNIANI IWE AMANI KWA WATU ALIOWARIDHIA” Utangulizi...
42 Reactions
1K Replies
91K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…