Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka jana 2012 ni sawa na kusema matokeo ya mwaka jana hayajatoka. Hivyo mpaka sasa hakuna aliyefaulu wala aliyefeli. Baraza la mitihani NECTA limeamuriwa...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Mnaosikiliza ITV mtakubaliana na mimi kwamba Umoja wa Ulaya umetoa tamko kuhusu mambo mengi na wamegusa kuhusu ulipuaji wa kanisa la St. Joseph huko Arusha jana. Wamekiri kwamba pamoja na kwamba...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Naweza kusema kuwa Tanzania ni nchi ambayi imejaliwa rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri zinaleta maendeleo katika jamii yetu ya sasa Sina maana mbaya ila ni kuweka wazi vitu vya msingi kwanza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Kitabu-Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam"Dola na Tatizo la udini Tanzania" Mwalimu Julius K. Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam Dola na Tatizo la Udini Tanzania By Mohamed Said Utangulizi...
4 Reactions
41 Replies
15K Views
Mheshimiwa Magdalena Sakaya ametema cheche na kutaka waliosababisha usumbufu kwa watahiniwa waliofeli mitihani na baadae serikali nakuja na majibu mepesi kuwa kufeli kwao kulitokana na kutumika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kesho, tarehe 08.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Closed
Wana JF Nimekua nikitafakari sababu za mtu kuulizwa dini yake, au kabila lake anapotakiwa kutoa particulars zake katika kituo cha polisi au mahakamani wakati akiwa na shauri lake pale. Imekua ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetaka Jeshi la Polisi nchini livunjwe na ligeuzwe kitengo ndani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Msimamo huo umetolewa jana bungeni na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
JUMATATU, MEI 06, 2013 05:16 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM *Wanafunzi waliofukuzwa wachachamaa WAKATI Watanzania wengi wakimtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika kusikiliza sikiliza hotuba za mheshimiwa sana nilikutana na hotuba yake ya hivi karibuni katika sherehe za Mei mosi. Akiwa anaongea na mamluki ya watu, Raisi wa jamuhuri ya Muungano alisema...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania naomba nitumie jukwaa hili la JF kuzungumza nanyi kama mtanzania mwengine yeyote ninayeguswa na hali tete tuliyonayo kama taifa. Kwa ufupi bila kumung'unya maneno TANZANIA...
1 Reactions
5 Replies
961 Views
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Nafuatilia bajeti ya Mambo ya ndani hapa, bajeti imepunguza sehemu nyingi vifungu vya pesa na kila anapoulizwa anajibu eti hela imehamishiwa kwenye matumizi ya mikoa mipya sasa kama nmeongeza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The President and First Lady meet with Pope Benedict XVI – photo Issah Michuzi Pope Benedict XVI has promised to visit Tanzania after receiving an invitation from President Kikwete, who...
1 Reactions
46 Replies
9K Views
06/05/2013 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA BARAZA KUU LA WAISLAMU WA TANZANIA BAKWATA JUU YA MLIPUKO WA BOMU - ARUSHA Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh. Baraza Kuu la...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
Paper noma, tutasikia waheshimiwa wakiandika mambo ya zombi Nafasi zao kutangazwa magazetini CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndiyo Wanabodi. Muda si mrefu kuanzia saa 12 jioni Kamanda Mawazo atakuwa live kwenye kipindi cha HOT MIX -EATV . Naomba kuwasilisha .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa jinsi hali ya usalama ilivyo nchini kwa sasa , ni vyema jeshi la polisi likavunjwa na kuundwa kikosi chini ya JWTZ kama ilivyopendekezwa na kambi ya Upinzani Bungeni. Wanabodi mna maoni gani?
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Nakerwa sana na mwenendo wa huyu bibi yetu pale mjengoni...........aliwekwa kwa makusudi kabisa kwa kuwa walifahamu tangu mwanzo kua ni mdhaifu....anatufanya wanawake wote tuonekane mboyoyo....na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza nimpongeze CAG wetu kwa ripoti nzuri sana aliyoitoa hivi karibuni kule bungeni. Ushauri au ombi kwa CAG ni kuwa watu wachache sana waliweza kupata hizi report kwenye CD na makabrasha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…