YA MRWARA NA UTAJIRI WA MALIASILI ZETU
Baada ya Mtwara sijui ni wapi patafuata. Yaweza kuwa Arusha (Tanzanite), Shinyanga (Almasi na Dhahabu), Mwanza (Samaki), Mara (Dhahabu) na kwingineko kwingi...
Kafara ni uhai unaotolewa wa kiumbe flan asiye na hatia kwa ajil ya maslah ya watu flan. wanamtwara mpaka sasa wameshamwaga damu zao kwa ajil ya kusimika ujengwaj wa bomba hili. na bado bomba hili...
Baada ya kuona matumizi ya scanner na tiketi zenye bar-code yanaongezea mapato Serikali na kuzuia mianya ya wizi mkubwa waliokuwa wanafanya awali, wahusika wa TAMESA katika kivuko hicho wamebuni...
MAWAZO HURU: mimi sio sawa wananchi kuchoma nyumba za mahakama, nyumba za voingozi kama wabunge, kzuia magari yasipite, naungana na kilio cha wanamtwara lakini kudai haki si kwa kufanya haya. haki...
Wana JF kuna jambo linanitatiza.....nimekuwa nikifatilia kwa umakini sana vipindi vya bunge na swala zima la Mtwara..Kauli ya Serikali iliyotolewa na poyoyo Nchimbi leo asubuhi na bwana cheka JK...
NAPATA wasiwasi huko tunapoelekea sipo mfano kuhusu suala la gesi inabidi kufanyike mazungumzo ya kina na wananchi wa Mtwara lakini katika hali tete kama hii vitisho havisaidii nadhani huko...
na Edson Kamukara, Dodoma | Tanzania Daima | Mei 23, 2013
BUNGE limeelezwa madini yenye thamani ya sh bilioni 13.12 yamesafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria kwa kipindi cha kuanzia Oktoba...
Wana JF,
wote tumeshuhudia suala hili likianza taratibu na kufikia hapa lilipo. Kimsingi hakuna mzalendo ambaye angetaka yatufike ya Niger Delta au mengineyo kama haya.
Niemeona katuni moja katika...
Serikali ya Tanzania na China zimekubaliana kutoa fursa kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne na kufaulu vizuri kujiunga na elimu ya vyuo vikuu nchini China.
Lengo la makubaliano hayo ni...
Nikitazama bunge,mawaziri na watendaji wote wa serikali, etc.Naona kwanini ujinga ni dini kubwa tz.
Ujinga ni dini inayopoteza haki kuanzia upelelezi wa polisi,hukumu mbovu mahakamani,mawazi...
Katika kutafuta ufumbuzi wa suala la gesi kusafirishwa toka Mtwara kuja Kinyerezi Dar, je tujiulize kwanza,mpango huo umeanza lini?
Naomba kwa mwenye kumbukumbu atuambie kwenye ilani ya CCM 2010...
JUMAPILI, MEI 19, 2013 07:34 NA DEBORA SANJA, DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete amesema Watanzania wanaoivuruga amani nchini wana uhusiano na watu kutoka mataifa ya nje. Rais Kikwete alitoa kauli hiyo...
Kufuatia swala la machafuko ya mtwara kuna uwezekano PINDA leo akakwepa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kutoka kwa wabunge ili kuepuka kujichanganya.
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema halioni kama kulikuwa na hali ya uchochezi kwenye hotuba iliyowasilishwa na Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni Dodoma juzi, kuhusu makadirio ya mapato...
Wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2010 TBC 1 walianzisha kipindi maarufu kilichokuwa na jina la mchakato majimboni wana siasa wengi walikikimbilia wakiona ndio sehemu ya kujinadi. Ingawa TBC...
Nina wasiwasi sana kuhusu uwajibikaji wa serikali katika kutekeleza sera zao ni aidha zimepitwa na wakati au watawala wamepitwa na wakati hili linatokana na migogoro ya mara kwa mara kuibuka...
Mbelwa Kairuki alikuwa Mwandishi hotuba pale Ikulu. Aliingia kwa kumfanyia Jembe January Majungu na hatimaye kuondolewa akagombee Ubunge. Kumbukeni, kuondoka kwa january ilikuwa ni mpango...
Wanasiasa wana kauli yao moja upenda kuitumia pale wanapo puuzia Mambo, usema "Ni upepo tu huo, utapita". Lakini kwa hili la Mtwara, chonde chonde wekeni siasa kando na tulitafutie ufumbuzi utakao...