Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akisoma taarifa mpya Bungeni waziri Nchimbi amesikika akitamka wazi askari wawili wamejeruhiwa kwa Bomu la kishindo huko Mtwara. Kuna maswali kadha wa kadha juu ya hii kauli ya bomu la kishindo ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM ndg. ATHUMAN MBWANA ameshtakiwa na wapinzani wake katika kinyang'anyiro hicho juu ya mwenendo wake wa Kugawa madawati shule ya msingi PONDA, kisha kuagiza GREDA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakuna mtu yeyote anayeunga mkono vurugu na vitendo vyote vya uvunjifu wa amani uliotokea na unaoendelea huko Mtwara juu ya madai ya kutokubaliana na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wadau nimeiona kwenye tovuti ya TPDC.Tuisome kwa makini ili tuweze kuchambua pumba na mchele!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania tumeze moto tu hata kama moto ...ukweli kwa hali iliyokuwa inaonekana na kilichotokea jana hapa Mtwara ukweli ulio wazi jambo hili lilipangwa na wako wanaoliongoza ila walikuwa...
7 Reactions
117 Replies
11K Views
Hotuba aliyomaliza kutoa Rais Obama kuhusu hali ya usalama US imenifanya nikajuiliza maswali mengi hasa uwezo wake wa kuweza kuzungumza na wananchi hata katika hali ya hasira na kutupiwa lawama za...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Chama cha Mapinduzi-CCM au chama Twawala kinapaswa sasa kuketi chini na kutafakari kwa kina kinataka kuipeleka wapi nchi hii iliyokuwa nchi ya Amani,Upendo na Mshikamano wa kupigiwa mfano Afrika...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ripoti ya utafiti juu ya ushirikishwaji wa raia katika mchakato wa uanzishwaji wa Jumuia ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Mwanafalsafa Jean- Paul Sartre anasema; “ Hell is the other people” – Kwamba jehanam ni wale wengine, anataka pia tukubaliane, kuwa pepo yaweza kuwa ni wale wengine. Na...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Kitendo cha serikali kufanya maamuzi kizimamoto hasa pale inapotokea shida ipo siku kila mkoa utaamua kujitangaza state na ndiyo utakapokuwa mwisho wa tawala dhalimu. Kilio cha wakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Watu wanafunguka.... Sehemu ya umati ya watu waliojitokeza kuwasikiliza makamanda wa M4C Viongozi wa CHADEMA wakiingia uwanjani... Tundu Lisu, Dr. Slaa akihutubia Mbowe akihutubia
43 Reactions
121 Replies
14K Views
Baada ya mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kumuambia waziri wa habari utamaduni na michezo kuwa ataondoa shilingi kama hatajibu kwa kina ni kwa nini kitabu cha waziri wa habari...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
Itakuwa maajabu sana kama hakuna wabunge walioenda Mtwara.Maana Mtwara kuna hujuma sana dhidi ya raia wema inayofanywa na Polisi na Jeshi. Dada ngu kaolewa Mtwara na ni Teacher.Je wale wabunge wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kumekuwa na kasumba ya baadhi wabunge wa CCM kuunga kila hoja inayoletwa mezani kwao, tabia hii imekuwa ikishika kasi kila kukicha, na yeyote yule ambaye haungi hoja amekuwa akionekana ni msaliti...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nimekuwa nikitafakari mwisho wa hizi kauli utakuaje.. Je ni nani hapa anatakiwa kuwa mpole na kunyoosha mikono ili amani ipatikane.. Majibu ya haraka kauli ya jk ni ya hasira, ubabe wa nguvu ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kama nchi hii ni moja kwanini serikari isikubaliane na wana mtwara kujenga kinu cha umeme mtwara na umeme huo uende Dar. Hivi kama miaka 50 umeme wa grid haujafika kusini hivi ukienda dar...
3 Reactions
5 Replies
928 Views
PRESS RELEASE THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ninakifananisha CCM na ndege aina ya nyegere ambaye anasifa ya kupiga kelele tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuumbele ya mpinzani.Na ukiona unampigia kelele mpinzani jua kwamba hoja zako hazina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama nilivyoahidi kuwa vikao vya chama vikiisha nitarudi hapa ili tupitie hoja hii -mafanikio na changamoto ya dhana ya kujivua gamba. Nawaomba sana sana tujadili bila kutukanana. Kama kuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
By Paul Ohia President Barack Obama of the United States is billed to begin his second tour of Africa at the end of June with visits to South Africa, Tanzania and Rwanda.He will however make a...
9 Reactions
220 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…