TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Ninakifananisha CCM na ndege aina ya nyegere ambaye anasifa ya kupiga kelele tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuumbele ya mpinzani.Na ukiona unampigia kelele mpinzani jua kwamba hoja zako hazina mashiko na mpinzani atakushinda.HIVI NCCR MAGEUZI hawaendi Arumeru kuchagiza ushindi wa CDM?