Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vyake vya kitaifa vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
Wanabodi,
Ni Mungu pekee ndiye huweka serikali za mataifa, hivyo marais wote ni mpango wa Mungu.
Kama ni Mpango wa Mungu, Uhakika wa Ushindi ni Asilimia 100% kwa 100%, kwa sababu Mipango ya...
Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes??
nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani...
Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo.
Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi...
https://www.youtube.com/shorts/QtDuQaR7buM
https://www.youtube.com/shorts/IZFPVTnGToM
Wanasema yuko thin skinned, lakini viongozi wote wa Tanzania tangu tupate uhuru walikuwa thin-skinned. Il...
Wakati Mussa anapigana na yule Mmisri walikuwa Wawili tu hadi alipomuua na kumfukia ardhini
Kumbe kuna mtu wa tatu alimuona na akahifadhi ule ushuhuda Moyoni akisubiri wakati sahihi ndio...
Wananchi wamemtiririshia majibu ya kumkashifu na kumshambulia baada ya kupost clip video inayoonyesha kuwa Rais Samia hajahusika na ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima lililo chini ya Askofu...
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??.
Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??.
Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye...
PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo...
Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina...
INTRODUCTION
Dear President Samia, the saying that "actions speak louder than words" means that a person's behavior and actions are a more reliable indicator of their true intentions and feelings...
HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila.
Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho...
Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi...
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu...
Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji.
Hata hawataki tujue maji yanawaka
VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
(KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo ...
Gari nyingi saa zimeputa last week,
Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao....
Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo...